fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Tag: Alibaba

Alibaba Watambulisha Teknolojia Ya PAY-WITH-SELFIE!
MtandaosimuSmartphonesTeknolojia

Alibaba Watambulisha Teknolojia Ya PAY-WITH-SELFIE!

Kutoka na ujio wa kishindo wa Apple Pay na NFC katika iPhone 6 inaonyesha kabisa 2015 utakua ni mwaka ambao malipo kwa kutumia simu (Mobile payments) yataongezeka. Tayari mamilioni ya watu wanatumia Google Wallet, Paypal na Venmo kulipa bidhaa mbalimbali wanazo nunua katika masoko ya simu/mtandao. Lakini Alibaba anapeleka vitu kwenye sayari nyingine kabisa anapokuja na teknolojia ya “Pay-By-Selfie” yaani…

TeknoKona Teknolojia Tanzania