Wafuatiliaji wa masuala ya mitandao ya kijamii tunanajua ya kuwa Google Plus imesaidia kufanya vichwa vya madesign na team nzima ya Facebook iamke zaidi ili kuboresha zaidi mtandao wao. Hili ni jambo nzuri sana!
Hii ndivyo profile mpya zinazotegemewa kuletwa hivi karibuni zitakuwa. Utakuwa na option ya kufanya madesign yako mwenywe kwa upande wa kependezesha profile yako!!! Wakati tunasubiria uzinduzi maarumu numeona haitakuwa vibaya kuwaonjesha hii kitu….
No Comment! Be the first one.