fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania
Facebook Intaneti Mtandao

Facebook Ilipoteza Zaidi ya Milioni 800 Ndani ya Dakika 30!

Facebook Ilipoteza Zaidi ya Milioni 800 Ndani ya Dakika 30!

Spread the love

FacebookJana mtandao wa Facebook ulipata itirafu na watu kutoweza kuingia kwenye akaunti zao, maarafu kwa kizungu kama ‘outage’. Je wewe uliathirika kipesa?Jibu litakuwa hapana, Facebook ndio waliopata hasara kwani kwa muda huo wa takribani dakika 30 walipoteza pato la takribani dola laki 5 za kimarekani, ambayo ni takribani Tsh 841,750,000/= za kibongo. ETIIIIIIIII? 

Msemaji wa Facebook, Jay Nancarrow amesema mtandao huo ulipata tatizo wakati wanafanya maboresho fulani katika programu zao. Na wamehaidi hii hali haitatokea tena… (Unaamini?)

SOMA PIA  Miundombinu ya TEHAMA na intaneti nchini Tanzania #Uchambuzi #Ripoti

Kwa sasa Facebook ina watumiaji zaidi ya bilioni 1.3

Comrade Mokiwa

Mbunifu na mpenda teknolojia.

Muanzilishi wa Teknokona, TechMsaada na Teknokona Group LTD - WWW.TEKNOKONAGROUP.COM

Muda wangu umegawanyika kati ya kazi kibunifu @teknokonagroup na uandishi wa habari za Teknolojia hapa Teknokona Blog.

| mhariri(at)teknokona.co.tz |

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

TeknoKona Teknolojia Tanzania