fbpx
Apple, apps

Apple yapunguza ushuru kwenye duka la apps

apple-yapunguza-ushuru-kwenye-duka-la-apps
Sambaza

Kampuni ya Apple yapunguza ushuru kwa wateja wanawauzia, kununua app katika simu janja au bidhaa nyingine yoyote kutoka App store.

Apple imekuwa ikitoza ushuru wa juu kwenye apps zake kwa zaidi ya miaka saba lakini kwa mara ya kwanza Apple wamepunguza ushuru wa kile kinachopatikana cha ziada kwa sharti moja tu kwamba mtu aliyenunua app hiyo atumie kwa zaidi ya mwaka mmoja; mapato yatakayotokana na mauzo ya apps hiyo yatagawanywa kwa asilimia 85/15.

INAYOHUSIANA  Nunua Bidhaa Instagram: Instagram wanakuja na huduma ya manunuzi
Apple
Spotify imeongeza mapato yake kwa kuwa na subscribers zaidi ya milioni 20 tangu mwaka 2016.

Iwapo hata nusu ya subscribers bado wanaendelea kulipia apps wanazozitumia ambao kwa makadirio mapato yake yatafikia $15m, Spotify itaweza kupata $15m kama mgao kutokana na ushuru wa malipo yatokanayo na mauzo ya programu tumishi wanazozimiliki.

Pia Apple wamepunguza tozo ya 30% kwenye vipengele vya habari, burududani ambazo zinalipiwa ili kupata huduma yake. Je, umefurahishwa na suala za Apple kupunguza ushuru?

Facebook Comments

Sambaza
0 Comments
Share

Mato Eric

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|