fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania
Android Apple simu

Sasa Badilisha Maelezo ya Picha katika Instagram

Sasa Badilisha Maelezo ya Picha katika Instagram

Spread the love

Je umeshashusha toleo jipya la Instagram?

  • Wameleta uwezo wa wewe kuweza kubadilisha maneno/maelezo ya picha uliyotuma. Kawaida ilikuwa kama ukikosea maelezo ya picha husika ilikuwa inakubidi uifute na kuiweka upya.
Ushawahi kuchapia na kufuta picha? Hakuna tena kufuta

Ushawahi kuchapia na kufuta picha? Hakuna tena kufuta

 

  • Pia utaweza kupata mapendekezo ya watu wa kuwafualitia (kuwa-Follow) kwa uraisi zaidi.
SOMA PIA  Xiaomi yauza simu Milioni 2 ktk Masaa 12, Rekodi ya Dunia ya Guinness Yawekwa

instagram_teknokona

 

Unaweza kushusha toleo hilo kwa kubofya  -> iOS (iPhone & iPad) |  Android |

Comrade Mokiwa

Mbunifu na mpenda teknolojia.

Muanzilishi wa Teknokona, TechMsaada na Teknokona Group LTD - WWW.TEKNOKONAGROUP.COM

Muda wangu umegawanyika kati ya kazi kibunifu @teknokonagroup na uandishi wa habari za Teknolojia hapa Teknokona Blog.

| mhariri(at)teknokona.co.tz |

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

TeknoKona Teknolojia Tanzania