Kampuni ya mabasi ya Ratco imeamua kujitutumua kiukweli kwa kuleta mabasi ya kipekee zaidi kiteknolojia kutoka kampuni ya mabasi ya China ya Yutong, inasemekana mabasi hayo mapya yatakuwa yafanya ruti ya Dar -Tanga. Na kwa eneo la VIP utaweza kukaa kwenye siti za ubora wa hali ya juu na hii ikiwa ni pamoja na skrini ya TV/tableti mbele yako kukuwezesha kuangalia video au kusikiliza muziki – kama kwenye ndege vile.
Tazama picha za basi hilo hapa;
No Comment! Be the first one.