fbpx

Huawei P20 Lite na P20 Pro: Simu janja zilizotoka kwa pamoja na kupokelewa vyema

Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr +
Sambaza

Kila siku kuna simu janja mpya inatoka, iwe ni toleo jipya au simu ambayo haihusiani kabisa na toleo fulani la nyuma. Huawei nao wamekuwa wakitoa vitu ambavyo vinaleta ushimdani kweli kweli na kuwa gumzo.

Katika bidhaa ambazo zinaongelewa sana kwenye tovuti mbalimbali ni simu rununu za Huawei P20 Lite na Huawei P20 Pro. Sababu ya simu hizo kuwavutia wachambuzi wengi wa masuala ya simu na teknolojia na simu kwa ujumla ni sifa za simu zenyewe.

Sifa kubwa kuliko katika Huawei P20 Lite na P20 Pro ni kwenye kamera; Huawei P20 Lite ina kamera mbili nyuma na P20 Pro ina kamera tatu kwa nyuma.

kupokelewa vyema

Ubora wa picha kwa kamera za nyuma: Huawei P20 Lite ina MP 16 | Huawei P20 Pro ina MP 40.

Sifa za Huawei P20 Lite na P20 Pro.

                   P20 Lite                                                                             P20 Pro

Mtandao Teknlojia GSM / HSPA / LTE GSM / HSPA / LTE
2G bands GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 – SIM 1 & SIM 2 (dual-SIM model only) GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 – SIM 1 & SIM 2 (dual-SIM model only)
3G Network HSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100 HSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100
4G Network LTE LTE
Kssi ya intaneti HSPA 42.2/5.76 Mbps, LTE-A (2CA) Cat6 300/50 Mbps HSPA, LTE
GPRS Ndio Ndio
EDGE Ndio Ndio
INAYOHUSIANA  Huawei: Waadhibiwa kwa kosa la kuchapisha habari kwa kutumia iPhone
Uzinduzi Kuzinduliwa Machi 2018 Machi 2018
Kuanza kuuzwa Ipo madukani tangu mwezi Machi 2018 Ipo madukani tangu Mwezi Aprili 2018
Umbo Urefu 148.6 x 71.2 x 7.4 mm (5.85 x 2.80 x 0.29 in) 155 x 73.9 x 7.8 mm (6.10 x 2.91 x 0.31 in)
Uzito 145 g 180 g
Laini Laini 2 Laini 2
Ina uwezo wa kuzuia maji/vumbi katika kina cha mita 1 kwa dakika 30
Ulinzi Inatumia teknolojia ya alama kidole (fingrprint) Inatumia teknolojia ya alama kidole (fingrprint)
Rangi Nyeusi, Dhahabu, Bluu na Udhurungi Nyeusi, Dhahabu, Bluu na Udhurungi
Kioo Aina LTPS IPS LCD, kioo cha mguso AMOLED, kioo cha mguso
Ukubwa Inchi 5.84 Inchi 6.1
Ubora 1080 x 2280 pixels, uwiano wa 19:9 1080 x 2240 pixels, uwiano wa 18.7:9
Kamera Kamera ya mbele ina MP 16 Kamera ya mbele ina MP 24
INAYOHUSIANA  Android 9 yaboreshwa kwa mara ya pili kwenye Galaxy Note 8
Vipuri Programu endeshi Android 8.0 (Oreo) Android 8.1 (Oreo)
Aina ya prosesa HiSilicon Kirin 659 Hisilicon Kirin 970
Kasi ya prosesa Octa-core (4×2.36 GHz Cortex-A53 & 4×1.7 GHz Cortex-A53) Octa-core (4×2.4 GHz Cortex-A73 & 4×1.8 GHz Cortex-A53)
Prosesa ya kwenye picha Mali-T830 MP2 Mali-G72 MP12
Betri 3000 mAh 4000 mAh
Uhifadhi Uhifadhi wa ziada Ina sehemu ya kuweka microSD mpaka GB 256 Haina sehemu ya kuweka memori kadi
Diski uhifadhi/RAM 32/64 GB, 4 GB RAM or 128 GB (Kwa Uchina tu) 128 GB, 6 GB RAM

Huawei P20 Lite inauzwa kwa $957|Tsh. 2,153,250 huku Huawei P20 Pro ikiuzwa kwa $1,076|Tsh. 2,421,000.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.