fbpx
Android, HTC One, Samsung, simu

LG Yatoa Kitu Kipya: LG-G3

kionjo-lg-yatoa-kitu-kipya
Sambaza

image

Kampuni ya LG mapema wiki hii imetoa simu mpya ya ubora wa juu kabisa ya LG-G3.
Simu hiyo ambayo imeingia sokoni inashindani na simu nyingine za aina yake kama Samsung S5, HTC-One na I-phone 5. Kwa wapenzi wa simu wanaotamaani kujua ubora wa simu hii ni kwamba kwanza ina muonekano wa kuvutia na wa kisasa ulionogeshwa kwa chuma aina ya alumini. Ina skrini kubwa ya inchi 5.5 (Sentimita 14) inayolingana na screen ya HTC-One.

Simu hii ina camera mbili, ya nyuma ikiwa na megapixeli 13 inayotoa picha bora. Simu hii
inatumia ‘processor’ ya ‘Snapdragon’ na ‘RAM’ ya GB 3 na inauwezo wa kuhifadhi picha, video na ‘data’ nyingine hadi GB 32 ambayo inaweza kuongezeka kwa kutumia ‘memory’ kadi.

INAYOHUSIANA  Huawei na simu ya kwanza ya mkunjo

The LG G3 has a 5.5in Quad HD resolution screen
Pamoja na simu hii kuwa na uwezo mkubwa, LG wanasisitiza zaidi jinsi gani G3 imetengenezwa kuwa rahisi kutumia na jinsi gani ilivyotengenezwa kurahisiha maisha ya mmiliki wa simu hiyo.

LG G3 design

Sifa Kuu:

-Kioo cha HD 1080p

-Kioo inchi 5.5

quad-core 2.5GHz Qualcomm Snapdragon 801 processor

-Kamera ya Mbele yenye uwezo wa 13MP

Facebook Comments

Sambaza
0 Comments
Share
Tags: , ,

ecay

Ninafuatilia teknolojia kila siku na ninapenda kutoa ujuzi wangu kuhusu teknolojia. Karibu tuzungumze kuhusu teknolojia hapa teknokona!

Reply your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked*