fbpx

Simu janja: Zifahamu Oppo A9 na A9x

Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr +
Sambaza

KWa miaka ya karibuni kuona simu janja inatoka kwa toleo la peke yake tu sio jambo ambalo limezoeleka bali utaweza kuona makampuni yakitoa rununu mwenza (kutoka familia moja) kwa wakati mmoja au baada ya muda fulani kupita.

Oppo imekuwa ni moja ya makampuni ambayo yamekuwa yakileta ushindani katika miaka ya karibuni wakiwa na bidhaa ukuki sokoni. Mwezi uliopita walizindua simu janja Oppo A9 na hivi karibuni wametoa toleo jingine kutoka familia ya “A9” nikimaanisha A9x. Tofauti kati ya simu hizo mbili ipo katika maeneo kadhaa tu, vipengele vingine vinafanana. Soma makala hii kuweza kufahamu sifa za Oppo A9 na A9x.

INAYOHUSIANA  WhatsApp: Wamiliki/Viongozi wa kundi kuamua nani atume ujumbe

Kipengele

Oppo A9

Oppo A9x

Kioo Kioo kina urefu wa inchi 6.53 FHD  LCD IPS Kioo kina urefu wa inchi 6.53 FHD  LCD IPS
Muonekamo Ina umbo la herufi “V” iliyowekwa sehemu ndogo sana kwenye kamera ya mbele Ina umbo la herufi “V” iliyowekwa sehemu ndogo sana kwenye kamera ya mbele
Kipuri mama Helio P70 SoC ndio iliyowekwa Helio P70 SoC ndio inayofanikisha ufanisi wa simu husika
Oppo A9 na A9x

Oppo A9.

Kipengele

Oppo A9

Oppo A9x

Kamera

Nyuma: Kamera mbili-MP 16+2MP+LED flash

 

 

 

 

Mbele: Ina kamera moja yenye MP 16.

Nyuma: Kamera tmbili-MP 48+MP 2+LED flash.

 

 

 

 

Mbele: Kamera moja yenye MP 16.

RAM/Diski uhifadhi
 • 6GB za RAM kwa GB 128 menori ya ndani.
 • 6GB za RAM kwa GB 128 menori ya ndani.
Betri
 • 4020mAh ndio nguvu ya betri na halitoki.
 • 4020mAh ndio nguvu ya betri na halitoki
 • Inateknolojia ya kuchaji haraka (20W)
Oppo A9 na A9x

Oppo A9x.

Kipengele

Oppo A9

Oppo A9x

Bei

$267|zaidi ya Tsh. 614,100 (128GB)

$289|zaidi ya Tsh. 664,700 (128GB)

Rangi

Kijani, Nyeupe na Zambarau

Nyeusi na Nyeupe

Mengineyo

 • Inatumia kadi mbili za simu kiwango cha GSM / CDMA / HSPA, 4G
 • Ina Android 9 Pie,
 • ina uwezo wa kukubali memori ya ziada mpka GB 256,
 • Ina sehemu ya kuchoka spika za masikioni,
 • Ulinzi wa kutumia alama ya kidole upo kwa nyuma,
 • Ina Bluetooth toleo la 4.2.
 • Inatumia kadi mbili za simu kiwango cha GSM / CDMA / HSPA, 4G
 • Ina Android 9 Pie,
 • ina uwezo wa kukubali memori ya ziada mpka GB 256,
 • Ina sehemu ya kuchoka spika za masikioni,
 • Ulinzi wa kutumia alama ya kidole upo kwa nyuma,
 • Ina Bluetooth toleo la 4.2.
INAYOHUSIANA  Samsung kuanza kuuza simu zao Zilizokwishatumika(refurbished) kwa bei nafuu

Oppo A9 tayari imeshaingia sokoni lakini Oppo A9x itaanza kuuzwa Mei 21 huko Uchina. TeknoKona tumekuchambulia, kilichobaki ni wewe kufanya maamuzi. Usiache kutufuatilia kila uchwao ili kuweza kupata habari za kiteknolojia.

Vyanzo: BGR, GSMArena

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.