Je umejaribu kuangalia video ya YouTube iliyo na kizuizi cha umri na ukaambiwa ni lazima ulogin kwanza kwenye YouTube kwa ajili ya kuhakikisha umri? Fahamu kuna njia ya kutazama video hiyo bila kulogin kwenye tovuti hiyo.

Cha kufanya:
- Ongeza tu “nsfw” kabla ya “youtube” kwenye kiunga cha URL kwenye mwambaa wa anwani ya kivinjari.
- Kama video ipo kwenye app chagua eneo la kushare, kisha copy URL na nenda kivinjari cha kwenye simu yako, Paste kisha andika nsfw kabla ya neno youtube kwenye kiunga cha URL.
Hapa kuna mfano:
- Video halisi = www.youtube.com/watch?v=6LZM3_wp2ps
- Toleo lisilokuwa na vizuizi = www.nsfwyoutube.com/watch?v=6LZM3_wp2ps
No Comment! Be the first one.