fbpx

simu, Teknolojia, Uchambuzi

Infinix Note 7: Simu yenye muonekano na ubora mzuri. #Uchambuzi #Bei

infinix-note-7-simu-yenye-muonekano-na-ubora-mzuri-uchambuzi-bei

Sambaza

Infinix Note 7 ni simu ambayo inadhidi kulinyanyua jina la simu za Infinix katika ubora – wa muonekano na wa kiteknolojia. Infinix Note 7 ni simu mpya kutoka Infinix iliyoanza kupatikana Julai mwaka 2020.

Mwanzoni mwaka huu tuliandika kuhusu kuanza kupatikana kwa Infinix Note 7, ila kutokana na umaarufu na maswali zaidi kuhusu simu hii basi tumewaletea tena makala inayoelezea uwezo wake zaidi.

Muonekano:

infinix note 7

infinix note 7

Sifa na uwezo wa simu ya Infinix Note 7:

 • Kioo (Display) cha teknolojia ya IPS LCD chenye ukubwa wa inchi 6.95.
 • Mfumo endeshi wa Android 10
 • Matoleo ya RAM na Diski Uhifadhi tofauti
  • RAM GB 2, Diski Uhifadhi GB 64
  • RAM GB 4, Diski Uhifadhi GB 128
  • RAM GB 6, Diski Uhifadhi GB 128
 • Kamera kadhaa;
  • Kuu ya MP 48, f/1.8
  • Ya vitu vidogo/macro ya MP 2, f2.4
  • Ya ubora ‘depth’ ya MP 2, f/2.4
  • Toleo la RAM ya GB 6 na Diski Uhifadhi wa GB 128 linakuja na kamera ya nne ambayo ni spesheli kwa kusaidia katika upigaji picha, ya MP 2, f/1.8
 • Kamera ya Selfi ya Megapixel 16, f/2.0
 • Prosesa ya Mediatek Hellio G70 (CPU Octa-core (2×2.0 GHz Cortex-A75 & 6×1.7 GHz Cortex-A55, GPU Mali-G52 2EEMC2)
 • Speaker: Simu inakuja na spika mbili, ili kuhakikisha ubora pale ambapo earphones haitumiki.
SOMA PIA  App Mahususi Kwa Wale Wanaosafiri Mara Kwa Mara!

Teknolojia ya Kufungua kwa kidole pembeni (Fingerprint), pia inakuja na teknolojia ya kufunguka kwa kutambua sure (Face unlock).

Betri: Betri la mAh 5000, na uwezo wa kuchaji kwa haraka (18W Super Charge 3.0). Nje hapo teknolojia zingine zote za kawaida kwenye simu janja kama vile bluetooth, Wifi, n.k.

SOMA PIA  Airtel Yashika Nafasi ya Nne Duniani!
Kuna toleo la Note 7 Lite, bei ya chini na uwezo wa chini kidogo ukilinganisha na toleo kamili

Bei ya simu hii inaanzia Tsh 420,000/= kwa toleo la GB 64.

Facebook Comments

Sambaza
0 Comments
Sambaza

Comrade Mokiwa

Comrade MokiwaMuanzilishi wa Teknokona na Teknokona Group LTD - WWW.TEKNOKONAGROUP.COMMuda wangu umegawanyika kati ya kazi kibunifu @teknokonagroup na uandishi wa habari za Teknolojia hapa Teknokona Blog.| mhariri@teknokona.com |

Toa Maoni

Your email address will not be published. Required fields are marked*