fbpx
Kompyuta, Maujanja, Tanzania, Teknolojia

Tengeneza Virusi vya Kompyuta vya Utani kwa Urahisi

jifunze-kutengeneza-virusi-vya-utani-kwa-uraisi
Sambaza

notepad-teknokona-tanzaniaKuna watu wamekuwa wakituomba kujua jinsi ya kutengeneza virusi vya kompyuta, Leo tutakufundisha njia za kutengeneza virusi hivi, hivi ni vya kiutani na havileti madhara kwa mafaili yaliyokwenye kompyuta. Njis rahisi ya kutoa virusi hivi baada ya majaribio ni kupitia kuyafuta. Muda mwingine inaweza bidi kuzima kompyuta kwanza, kuwasha na kisha kufuta faili husika.

KWA AJILI YA UTANI TUU! USIWEKE KWA MTU ANAYETUMIA KOMPYUTA YAKE KIKAZI!

Fungua programu ya Notepad kisha fuata maelekezo haya, kumbuka unapotaka lisevu faili husika unaweza chagua jina lolote ila ni lazima umalizie na nukta kisha BAT (.BAT) au nukta VBS (.VBS) fuata maelekezo yote;

1. Kirusi unachoweza weka meseji yeyote ya utani kisha kinazima kompyuta:
Andika :

@echo off
msg * Habari rafiki
shutdown -c "Error! Kompyuta Imegoma Leo!" -s

Kisha hifadhi (save) kama “jinalolote.BAT” ata kwenye ‘Desktop’ au ‘My Documents’ kisha unaweza jaribu au kumtumia rafiki unayetaka mtania.

INAYOHUSIANA  Siku ya kwanza katika kongamano la TEHAMA 2018

2. Kulazimisha Uchaguzi wa ‘Caps Lock’ kwenye Kibodi (Keyboard) Usioweza Kutolewa. (Inalazimisha mtu kutumia herufi kubwa tuu)

ANDIKA;

Set wshShell =wscript.CreateObject("WScript.Shell"
do
wscript.sleep 100
wshshell.sendkeys "{CAPSLOCK}"
loop

Kisha hifadhi (save) kama “jinalolote.VBS” ata kwenye ‘Desktop’ au ‘My Documents’ kisha unaweza jaribu au kumtumia rafiki unayetaka mtania.

3. Ejekti deki ya CD au DVD ya laptop au kompyuta yeyote, ata kama zipo zaidi ya moja zote zitafunguka. Ata kama zikifungwa baada ya muda kidogo zitafunguka tena.

INAYOHUSIANA  Japan: Kibanika Mkate kinachouzwa kwa zaidi ya Tsh 600,000

ANDIKA;

Set oWMP = CreateObject("WMPlayer.OCX.7"wink
Set colCDROMs = oWMP.cdromCollection
do
if colCDROMs.Count >= 1 then
For i = 0 to colCDROMs.Count - 1
colCDROMs.Item(i).Eject
Next
For i = 0 to colCDROMs.Count - 1
colCDROMs.Item(i).Eject
Next
End If
wscript.sleep 5000
loop

Kisha hifadhi (save) kama “jinalolote.VBS” ata kwenye ‘Desktop’ au ‘My Documents’ kisha unaweza jaribu au kumtumia rafiki unayetaka mtania.

4. Hii itafanya Notepad ifunguke bila kufunguliwa na kuandika ujumbe ufuatao kwenye kompyuta husika “Hello, how are you? I am good thanks”. Unaweza badili maneno hayo kiustaa kwa kubadilisha badilisha herufi za maneno hayo katika kodi(code) hii

ANDIKA;

WScript.Sleep 180000
WScript.Sleep 10000
Set WshShell = WScript.CreateObject("WScript.Shell"wink
WshShell.Run "notepad"
WScript.Sleep 100
WshShell.AppActivate "Notepad"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "Hel"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "lo "
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys ", ho"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "w a"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "re "
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "you"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "? "
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "I a"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "m g"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "ood"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys " th"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "ank"
WScript.Sleep 500
WshShell.SendKeys "s! "

Kisha hifadhi (save) kama "jinalolote.VBS" ata kwenye 'Desktop' au 'My Documents' kisha unaweza jaribu au kumtumia rafiki unayetaka mtania.

5. Kirusi huyu atafanya Notepad ifunguliwe mara kibao kuliko uwezo wa mtu kuzifunga. 

@ECHO off
:top
START %SystemRoot%system32notepad.exe
GOTO top

Kisha hifadhi (save) kama “jinalolote.BAT” ata kwenye ‘Desktop’ au ‘My Documents’ kisha unaweza jaribu au kumtumia rafiki unayetaka mtania.

INAYOHUSIANA  Jacquard: Jaketi janja kutoka Google na Levi's

JE UMEJARIBU YEYOTE, TUAMBIE IMEKUWAJE

Facebook Comments

Sambaza
0 Comments
Share

Mhariri Mkuu

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. | mhariri@teknokona.com |

Reply your comment

Your email address will not be published. Required fields are marked*