fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania
Google Teknolojia

Vitu Vilivyotafutwa Zaidi – Google Mwaka 2014

Vitu Vilivyotafutwa Zaidi – Google Mwaka 2014

Spread the love

Mwaka unaisha, na mengi yametokea yaliyowafanya watu wengi kutafuta kufahamu zaidi kuhusu mambo/masuala hayo kupitia mtandao wa utafutaji wa Google.

Je unafahamu wewe binafsi umetafuta kuhusu mambo mangapi kipindi cha wiki moja kilichopita? Unaweza usikumbuke au kufahamu, ila Google tayari imetoa data kuhusu vitu vilivyotafutwa zaidi kwenye mtandao huo mkubwa zaidi duniani kwenye utafutaji.google-tanzania

Fahamu mambo/vitu vilivyotafutwa zaidi Google kwa mwaka 2014;

  1. Robin Williams
  2. World Cup
  3. Ebola
  4. Malaysia Airlines
  5. ALS Ice Bucket Challenge
  6. Flappy Bird
  7. Conchita Wurst
  8. ISIS
  9. Frozen
  10. Sochi Olympics
SOMA PIA  Manowari ya Pili ya Kijeshi ya Uchina Kutengenezwa kwa Kutumia Teknolojia ya Nyumbani

Ukibofya kwenye maandishi hayo utaweza kusoma zaidi kuhusu tukio husika kupitia mtandao wa WikiPedia.

Ifuatayo ni orodha ya watu ambao habari zao zilitafutwa zaidi Google, namba moja ya Jennifer Lawrence inasemekana imechangiwa sana na uibwaji wa picha zake binafsi kutoka iCloud zilizosambazwa mitandaoni miezi michache iliyopita.

SOMA PIA  BBM300: Gari hili spesheli linafyatua matofali 300 kwa dakika! #Teknolojia

Katika filamu hizi ndizo filamu 10 ambazo watu walitafuta zaidi habari zinazozihusu.

Hivi ndio vifaa 10 vya kumi vya elektroniki ikiwa ni pamoja na simu ambazo watu wametafuta habari zaidi, na kumbuka mwaka huu ni mara ya kwanza kwa zaidi ya miaka 4 simu ya iPhone kutoingia katika kumi bora tuliyoiangalia hapo mwanzo ila bado wanashika nafasi ya kwanza katika kundi la vifaa vya elektroniki.

SOMA PIA  WhatsApp na machapisho ya picha za mnato

Je ni mechi gani za Mashindano ya Kombe la Dunia ‘World Cup’ ambazo watu waligoogle zaidi kuzihusu? ni hizi hapa;

Na hizi ndizo timu za mpira ambazo watu walitafuta zaidi habari kuzihusu

Comrade Mokiwa

Mbunifu na mpenda teknolojia.

Muanzilishi wa Teknokona, TechMsaada na Teknokona Group LTD - WWW.TEKNOKONAGROUP.COM

Muda wangu umegawanyika kati ya kazi kibunifu @teknokonagroup na uandishi wa habari za Teknolojia hapa Teknokona Blog.

| mhariri(at)teknokona.co.tz |

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

TeknoKona Teknolojia Tanzania