Tumechelewa kupata taarifa hii ila bado tunadhani kama ni muhimu kwako basi unaweza kupata muda na kufika jioni ya leo. Sehemu ni kituo cha ubunifu wa kiteknolojia cha Buni na kutakuwa na utaweza kupata kufuatilia moja kwa moja mambo ya kiteknolojia kutoka jijini Francisco ambapo kampuni ya Google itakuwa inatambulisha mambo mbalimbali.
Tukio hilo kwa Kinu limedhaminiwa na kampuni ya Vodacom.
Tazama tangazo la tukio hilo hapa;
No Comment! Be the first one.