Facebook na instagram hazipatikani kwa sasa!
Kwa hiyo kama ulikuwa unafikiri ni kwako tuu fahamu si kwako tuu ila ni duniani kote.
Instagram inamilikiwa na Facebook na inaonesha lazima litakuwa ni tatizo la kiufundi kwenye ‘servers’ (kompyuta mama) za mitandao hiyo.
Endelea kuwa nasi, tutatoa taarifa zaidi hapo baadae.
(TAARIFA MPYA)
WAMEFANIKIWA KURUDISHA HUDUMA! MITANDAO YOTE INAPATIKANA KAMA KAWAIDA KWA SASA!
No Comment! Be the first one.