fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania
apps simu Teknolojia

Emoji na Maana Zake! #Emoji

Emoji na Maana Zake! #Emoji
Spread the love

Emoji zimepata umaarufu sana kwa miaka kadhaa sasa kama sehemu muhimu ya mawasiliano. Leo tunakuletea orodha ya emoji na maana zake.

Emoji ni picha au nembo inayopachikwa katika maandishi na kutumika katika jumbe za kielektroniki pamoja na kurasa za tovuti. Kuna aina mbalimbali za emoji kama emoji za sura, vitu vya kawaida, maeneo, aina za hali ya hewa na wanyama.

Neno Emoji limetoka kwenye lugha ya kijapan na maana yake ni picha. Emoji zilianza kutumika katika simu za wajapan mwaka 1997 na kupata umaarufu zaidi mwaka 2010 zilipoanza kutumiwa na kampuni za watengeneza simu. Kuna zaidi ya Emoji 3000 zinazotumika mpaka sasa. Emoji hutumiwa na watu kujieleza, kukuza mwingiliano katika maongezi na kuonyesha hisia kwa njia ya ujumbe.

Orodha ya Emoji na maana zake.

 • ๐Ÿ˜€ Uso wa Kutabasamu
 • ๐Ÿ˜ƒ Uso wa Kutabasamu na wenye macho makubwa
 • ๐Ÿ˜„ Uso wa kutabasamu/kucheka na macho yakiwa yamefungwa
 • ๐Ÿ˜ Tabasamu lenye kicheko
 • ๐Ÿ˜† Kicheko kikubwa cha furaha
 • ๐Ÿ˜… Kicheko kikubwa hadi jasho
 • ๐Ÿคฃ Kicheko cha hadi kujigaragaza
 • ๐Ÿ˜‚ Kicheko kinacholeta machozi ya furaha
 • ๐Ÿ™‚ Tabasamu kidogo
 • ๐Ÿ™ƒ Kichwa juu chini
 • ๐Ÿ˜‰ Kukonyeza
 • ๐Ÿ˜Š Tabasamu lililo jaa furaha tele
 • ๐Ÿ˜‡ Tabasamu lenye urembo wa upindo juu
 • ๐Ÿฅฐ Tabasamu lililojaa upendo
 • ๐Ÿ˜ Tabasamu la kimahaba
 • ๐Ÿคฉ Tabasamu la kushangilia mambo mazuri
 • ๐Ÿ˜˜ Busu linalotuma upendo
 • ๐Ÿ˜— Uso unaobusu
 • โ˜บ๏ธ Sura ya Tabasamu
 • ๐Ÿ˜š Kubusu huku macho yamefungwa
 • ๐Ÿ˜™ Kubusu huku macho yanafuraha
 • ๐Ÿฅฒ Uso unaotabasamu na chozi la furaha
 • ๐Ÿ˜‹ Uso wenye matamanio ya msosi
 • ๐Ÿ˜› Kutoa ulimi nje
 • ๐Ÿ˜œ Kukonyeza huku ulimi uko nje
 • ๐Ÿคช Uso wa mchezo/Kuonesha ukichaa
 • ๐Ÿ˜ Uso wa Kiutani na Ulimi Nje
 • ๐Ÿค‘ Uso wa Unaonesha ‘PESA PESA’
 • ๐Ÿค— Kumbatio
 • ๐Ÿคญ Mkono ukifunika mdomo / Kuishiwa maneno ya kuongea / kuchagua kukaa kimya
 • ๐Ÿคซ Uso unaomnyamazisha mtu / Kaa Kimya
 • ๐Ÿค” Kuwa katika mawazo
 • ๐Ÿค Kufunga mdomo ‘zipu’ / Siri ipo salama
 • ๐Ÿคจ Kutoamini unachosikia au Kuona / Kushangazwa
 • ๐Ÿ˜ Sura isiyo onesha hisia
 • ๐Ÿ˜‘ Sura isiyo na hisia
 • ๐Ÿ˜ถ Uso bila mdomo
 • ๐Ÿ˜ Uso wa tabasamu la kiutani
 • ๐Ÿ˜’ Uso wa Kutopendezwa na Mambo
 • ๐Ÿ™„ Uso ukiwa na macho yanayotazama juu / Maringo
 • ๐Ÿ˜ฌ Grimacing Face – Hii ni emoji ambayo inaleta mchanganyiko sana kwani inatokea tofauti sana kwenye huduma au simu tofauti. Hapa chini ndivyo inavyotokea kwenye huduma mbalimbali.
Emoji na Maana Zake

Ugumu wa emoji ni kwamba inatokea tofauti kwenye huduma na simu tofauti. Kuna wanaona ni kisura kinachofurahia jambo..na kwa wengine kinatokea kama kisuru chenye jambo tata.

 • ๐Ÿคฅย  Sura ya kusema uongo
 • ๐Ÿ˜Œย  Uso wa furaha baada ya jambo au kitu
 • ๐Ÿ˜”ย  Uso wenye mawazo
 • ๐Ÿ˜ชย  Kuwa na usingizi
 • ๐Ÿคคย  Kuwa na tamaa ya kitu/jambo/mtu
 • ๐Ÿ˜ดย  Kuwa na Usingizi
 • ๐Ÿ˜ทย  Uso uliovaa barakoa
 • ๐Ÿค’ย  Kipima joto mdomoni / Kujisikia kuumwa au homa
 • ๐Ÿค•ย  Kufungwa bandeji kichwani
 • ๐Ÿคขย  Kujisikia kizunguzungu
 • ๐Ÿคฎย  ย Kutapika
 • ๐Ÿคงย  ย Kupenga makamasi
 • ๐Ÿฅตย  ย Kuhisi Joto kali
 • ๐Ÿฅถย  Kuhisi baridi
 • ๐Ÿฅด Sura ya kuchanganyikiwa
 • ๐Ÿ˜ต Sura ya kizunguzungu
 • ๐Ÿคฏ Mpasuko/Mlipuko wa kichwa
 • ๐Ÿค  Kichwa kilichovaa kofia za ‘Cowboy’
 • ๐Ÿฅณ Kusheherekea
 • ๐Ÿฅธย  Kutopendezwa na jambo
 • ๐Ÿ˜Ž Sura yenye miwani na yenye tabasamu
 • ๐Ÿค“ Sura ya ujuaji
 • ๐Ÿง Sura yenye miwani jicho moja
 • ๐Ÿ˜• Sura ya kutoelewa
 • ๐Ÿ˜Ÿ Sura ya wasiwasi
 • ๐Ÿ™ Sura iliyokunjamana kidogo
 • โ˜น๏ธ Sura iliyokunjamana
 • ๐Ÿ˜ฎ Sura yenye mdomo wazi
 • ๐Ÿ˜ฏ Sura iliyotulia
 • ๐Ÿ˜ฒ Sura ya mshangao
 • ๐Ÿ˜ณ Sura ya Kushtuka
 • ๐Ÿฅบ Sura ya kusihi
 • ๐Ÿ˜ฆ Sura iliyokunjamana na yenye mdomo wazi
 • ๐Ÿ˜ง Sura yenye uchungu
 • ๐Ÿ˜จ Sura ya woga
 • ๐Ÿ˜ฐ Sura ya woga yenye majasho
 • ๐Ÿ˜ฅ Sura ya huzuni
 • ๐Ÿ˜ข Sura ya kulia
 • ๐Ÿ˜ญ Sura ya kulia
 • ๐Ÿ˜ฑ Uso Unaopiga Mayowe Kwa Hofu
 • ๐Ÿ˜– Sura ya kuchukizwa
 • ๐Ÿ˜ฃ Sura ya kuchukizwa
 • ๐Ÿ˜ž Sura ya kukata tamaa
 • ๐Ÿ˜“ Sura ya kuchoka na majasho
 • ๐Ÿ˜ฉ Sura ya kulalamika
 • ๐Ÿ˜ซ Sura ya kuchoka
 • ๐Ÿฅฑ Sura ya kupiga miayo
 • ๐Ÿ˜ค Sura ya kuchukia
 • ๐Ÿ˜ก Sura ya kukasirika
 • ๐Ÿ˜  Sura ya kukasirika
 • ๐Ÿคฌ Sura yenye alama kwenye mdomo
 • ๐Ÿ˜ˆ Sura yenye tabasam na mapembe
 • ๐Ÿ‘ฟ Sura yenye hasira na pembe
 • ๐Ÿ’€ Fuvu la kichwa
 • โ˜ ๏ธ Fuvu na mifupa
 • ๐Ÿ’ฉ Kinyesi
 • ๐Ÿคก Mchekeshaji
 • ๐Ÿ‘น Zimwi
 • ๐Ÿ‘บ Goblini
 • ๐Ÿ‘ป Roho
 • ๐Ÿ‘ฝ Mgeni kutoka sayari nyingine
 • ๐Ÿค– Roboti
 • ๐Ÿ˜บ Paka anayecheka
 • ๐Ÿ˜ธ Paka anayecheka kwa furaha
 • ๐Ÿ˜น Paka mwenye machozi ya furaha
 • ๐Ÿ˜ป Paka mwenye kopa machoni
 • ๐Ÿ˜ผ Paka mwenye tabasam
 • ๐Ÿ˜ฝ Paka anayebusu
 • ๐Ÿ™€ Paka aliyechoka
 • ๐Ÿ˜ฟ Paka anayelia
 • ๐Ÿ˜พ Paka aliyenuna
 • ๐Ÿ’‹ Alama ya kubusu
 • ๐Ÿ‘‹ Kupunga Mkono
 • ๐Ÿคš Kunyoosha mkono
 • ๐Ÿ–๏ธ Mkono wenye vidole vilivyosambazwa
 • โœ‹ Mkono ulionyooshwa
 • ๐Ÿ–– Saluti ya kivulcani
 • ๐Ÿ‘Œย  Sawa
 • ๐Ÿค Kubana Mkono
 • โœŒ๏ธย  Mkono wa ushindi
 • ๐Ÿคž Kukunja vidole
 • ๐ŸคŸ Ishara ya Nakupenda
 • ๐Ÿค˜ย  Alama ya mapembe
 • ๐Ÿค™ Nipigie
 • ๐Ÿ‘ˆ Mkono kuonyesha mbele
 • ๐Ÿ‘‰ Mkono kuonyesha nyuma
 • ๐Ÿ‘† Mkono kuonyesha juu
 • ๐Ÿ–• Kidole cha kati
 • ๐Ÿ‘‡ Mkono kuonyesha chini
 • โ˜๏ธ Kidole kuonyesha juu
 • ๐Ÿ‘ Kidole gumba
 • ๐Ÿ‘Ž Kidole gumba chini
 • โœŠ Ngumi Iliyoinuliwa
 • ๐Ÿ‘Š Ngumi inayokujia
 • ๐Ÿค› Ngumi kuelekea kushoto
 • ๐Ÿคœ Ngumi kuelekea kulia
 • ๐Ÿ‘ Kupiga makofi
 • ๐Ÿ™Œ Kuinua mikono
 • ๐Ÿ‘ Kufungua mikono
 • ๐Ÿคฒ Viganja juu
 • ๐Ÿค Kupeana mkono
 • ๐Ÿ™ Mikono kugusana
 • โœ๏ธ Mkono unaoandika
 • ๐Ÿ’… Kupaka rangi kucha
 • ๐Ÿคณ Kujipiga Selfie
 • ๐Ÿ’ช Kutunisha misuli
 • ๐Ÿฆพ Mkono wa chuma
 • ๐Ÿฆฟ Mguu wa chuma
 • ๐Ÿฆต Mguu
 • ๐Ÿฆถ Unyayo
 • ๐Ÿ‘‚ Skio
 • ๐Ÿฆป Skio lenye kifaa cha kusikilizia
 • ๐Ÿ‘ƒ Pua
 • ๐Ÿง  Ubongo
 • ๐Ÿซ Mapafu
 • ๐Ÿฆท Jino
 • ๐Ÿฆด Mfupa
 • ๐Ÿ‘€ Macho
 • ๐Ÿ‘๏ธ Jicho
 • ๐Ÿ‘… Ulimi
 • ๐Ÿ‘„ Mdomo
 • ๐Ÿ‘ถ Mtoto
 • ๐Ÿ‘ฆ Mtoto wa kiume
 • ๐Ÿ‘ง Mtoto wa kike
 • ๐Ÿง‘ Mtu
 • ๐Ÿ‘จ Mwanaume
 • ๐Ÿง” Mwanaume mwenye ndevu
 • ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿฆฐย  Mwanamkeย 
 • ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿฆณ Mwanaume mwenye nywele nyeupe
 • ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿฆฒ Mwanaume mwenye kipara
 • ๐Ÿ‘ฉ Mwanamke
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿฆฐย  Mwanamke mwenye nyewele nyekundu
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿฆณ Mwanamke mwenye nywele nyeupe
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿฆฒย  Mwanamke mwenye kipara
 • ๐Ÿง“ย  Mzee
 • ๐Ÿ™ Mtu kukunja uso
 • ๐Ÿ™โ€โ™‚๏ธ Mwanaume kukunja uso
 • ๐Ÿ™โ€โ™€๏ธ Mwanamke kukunja uso
 • ๐Ÿ™… Mtu kuashiria hapana
 • ๐Ÿ™…โ€โ™‚๏ธ Mwanaume kuashiria hapana
 • ๐Ÿ™…โ€โ™€๏ธ Mwanamke kuashiria hapana
 • ๐Ÿ™† Mtu kuashiria ndio
 • ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ Mwanaume kuashiria ndio
 • ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ Mwanamke kuashiria ndio
 • ๐Ÿ™‹โ€โ™‚๏ธ Mwanaume kunyoosha mkono
 • ๐Ÿ™‹โ€โ™€๏ธ Mwanamke kunyoosha mkono
 • ๐Ÿงโ€โ™‚๏ธ Kiziwi wa kiume
 • ๐Ÿงโ€โ™€๏ธ Kiziwi wa kike
 • ๐Ÿ™‡ Mtu kuinama
 • ๐Ÿ™‡โ€โ™‚๏ธ Mwanaume kuinama
 • ๐Ÿ™‡โ€โ™€๏ธ Mwanamke kuinama
 • ๐Ÿคฆ Mtu akiziba uso
 • ๐Ÿคฆโ€โ™‚๏ธ Mwanaume akiziba uso
 • ๐Ÿคฆโ€โ™€๏ธ Mwanamke akiziba uso
 • ๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ Mwanume akiinua mabega
 • ๐Ÿคทโ€โ™€๏ธ Mwanamke akiinua mabega
 • ๐Ÿ‘จโ€โš•๏ธย  Mtaalamu wa afya wakiume
 • ๐Ÿ‘ฉโ€โš•๏ธย  Mtaalamu wa afya wakike
 • ๐Ÿ‘จโ€๐ŸŽ“ Mwanafunzi wakiume
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐ŸŽ“ Mwanafunzi wakike
 • ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿซ Mwalimu wakike
 • ๐Ÿ‘จโ€โš–๏ธ Jaji wakiume
 • ๐Ÿ‘ฉโ€โš–๏ธ Jaji wakike
 • ๐Ÿ‘จโ€๐ŸŒพ Mkulima wakiume
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐ŸŒพ Mkulima wakike
 • ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿณ Mpishi wakiume
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿณ Mpishi wakike
 • ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ”ง Fundi wakiume
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ”ง Fundi wakike
 • ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿญ Mfanyakazi wa kiwandani wakiume
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿญ Mfanyakazi wa kiwandani wakike
 • ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ’ผย  Mfanyakazi wa ofisini wakiume
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ’ผ Mfanyakazi wa ofisini wakike
 • ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ”ฌ Mwanasayansi wakiume
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ”ฌ Mwanasayansi wakike
 • ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ’ป Mtaalamu wa teknolojia wakiume
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ’ป Mtaalamu wa teknolojia wakike
 • ๐Ÿ‘จโ€๐ŸŽค Mwimbaji wakiume
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐ŸŽค Mwimbaji wakike
 • ๐Ÿ‘จโ€๐ŸŽจ Mchoraji wakiume
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐ŸŽจ Mchoraji wakike
 • ๐Ÿ‘จโ€โœˆ๏ธย  Rubani wakiume
 • ๐Ÿ‘ฉโ€โœˆ๏ธย  Rubani wakike
 • ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿš’ Zimamoto wakiume
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿš’ Zimamoto wakike
 • ๐Ÿ‘ฎโ€โ™‚๏ธ Polisi wakiume
 • ๐Ÿ‘ฎโ€โ™€๏ธ Polisi wakike
 • ๐Ÿ•ต๏ธโ€โ™‚๏ธ Mpelelezi wakiume
 • ๐Ÿ•ต๏ธโ€โ™€๏ธ Mpelelezi wakike
 • ๐Ÿ’‚โ€โ™‚๏ธ Mlinzi wakiume
 • ๐Ÿ’‚โ€โ™€๏ธ Mlinzi wakike
 • ๐Ÿฅทย Ninja
 • ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ Fundi ujenzi wakiume
 • ๐Ÿ‘ทโ€โ™€๏ธ Fundi ujenzi wakike
 • ๐Ÿคตโ€โ™‚๏ธ Mwanaume aliyevaa Tuxedo
 • ๐Ÿคตโ€โ™€๏ธ Mwanamke aliyevaa in Tuxedo
 • ๐Ÿคฐ Mwanamke mwenye mimba
 • ๐Ÿคฑ Kunyonyesha
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿผ Mwanamke kumpa mtoto maziwa
 • ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿผ Mwanume kumpa mtoto maziwa
 • ๐Ÿ‘ผ Malaika mtoto
 • ๐ŸŽ…ย Santa Claus
 • ๐Ÿฆธโ€โ™‚๏ธ Shujaa mkuu wakiume
 • ๐Ÿฆธโ€โ™€๏ธ Shujaa mkuu wakike
 • ๐Ÿฆนโ€โ™‚๏ธย  Adui mkuu wakiume
 • ๐Ÿฆนโ€โ™€๏ธย  ย Adui mkuu wakike
 • ๐Ÿง™โ€โ™‚๏ธ Mchawi wakiume
 • ๐Ÿง™โ€โ™€๏ธ Mchawi wakike
 • ๐Ÿง›โ€โ™‚๏ธ Vampaya wakiume
 • ๐Ÿง›โ€โ™€๏ธย  Vampire wakike
 • ๐Ÿงœโ€โ™€๏ธ Nguva
 • ๐Ÿงžโ€โ™‚๏ธย  Jini la kiume
 • ๐Ÿงžโ€โ™€๏ธ Jini la kike
 • ๐ŸงŸโ€โ™‚๏ธ Zombi wakiume
 • ๐ŸงŸโ€โ™€๏ธ Zombi wakike
 • ๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธ Mwanaume anayetembea
 • ๐Ÿšถโ€โ™€๏ธ Mwanamke anayetembea
 • ๐Ÿงโ€โ™‚๏ธ Mwanaume aliyesimama
 • ๐Ÿงโ€โ™€๏ธ Mwanamke aliyesimama
 • ๐ŸงŽโ€โ™‚๏ธ Mwanaume akipiga magoti
 • ๐ŸงŽโ€โ™€๏ธ Mwanamke akipiga magoti
 • ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿฆฝ Mlemavu wakiume
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿฆฝ Mlemavu wakike
 • ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ Mwanaume akikimbia
 • ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ Mwanamke akikimbia
 • ๐Ÿ’ƒ Mwanamke akicheza
 • ๐Ÿ•บย  Mwanaume akicheza
 • ๐Ÿง‘โ€๐Ÿคโ€๐Ÿง‘ Watu wakishikana mikono
 • ๐Ÿ‘ฉโ€โค๏ธโ€๐Ÿ’‹โ€๐Ÿ‘จ Kubusu
 • ๐Ÿ‘ฉโ€โค๏ธโ€๐Ÿ‘จ Wapenzi
 • ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ‘ฆย  Familia: Baba na mtoto wakiume
 • ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ‘ฆโ€๐Ÿ‘ฆ Familia: Baba na watoto wakiume
 • ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ‘ง Familia: Baba na mtoto wakike
 • ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ‘งโ€๐Ÿ‘ฆ Familia: Baba na mtoto wa kike na wa kiume
 • ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ‘งโ€๐Ÿ‘ง Familia: Baba na watoto wakike
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ‘ฆย  ย Familia: Mama na mtoto wakiume
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ‘ฆโ€๐Ÿ‘ฆ Familia: Mama na watoto wakiume
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ‘งย  Familia: Mama na mtoto wakike
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ‘งโ€๐Ÿ‘ฆ Familia: Mama na mtoto wa kiume na wakike
 • ๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ‘งโ€๐Ÿ‘ง Familia: Mama na watoto wakike
 • ๐Ÿ—ฃ๏ธย  Mtu anayeongea
 • ๐Ÿ‘ฃ Alama za miguu
 • ๐Ÿงณ Mzigo
 • ๐ŸŒ‚ Mwamvuli uliofungwa
 • โ˜‚๏ธ Mwamvuli
 • ๐Ÿงต Uzi
 • ๐Ÿ‘“ Miwani
 • ๐Ÿ•ถ๏ธ Miwani ya jua
 • ๐Ÿฅฝ Miwani
 • ๐Ÿฅผ Koti la maabara
 • ๐Ÿฆบ Kizibao cha usalama
 • ๐Ÿ‘” Tai
 • ๐Ÿ‘• Tisheti
 • ๐Ÿ‘– Jinzi
 • ๐Ÿงค Glovzi
 • ๐Ÿงฅ Koti
 • ๐Ÿงฆ Soksi
 • ๐Ÿ‘— Gauni
 • ๐Ÿ‘˜ย Kimono
 • ๐Ÿฅปย Sari
 • ๐Ÿฉฑ Nguo za kuogelea
 • ๐Ÿฉฒ Boksa
 • ๐Ÿฉณ Bukta
 • ๐Ÿ‘™ย Bikini
 • ๐Ÿ‘š Nguo za kike
 • ๐Ÿ‘› Pochi
 • ๐Ÿ‘œ Pochi ya mkononi
 • ๐ŸŽ’ Begi
 • ๐Ÿ‘ž Viatu vya mwanaume
 • ๐Ÿ‘Ÿ Viatu vya mazoezi
 • ๐Ÿฅฟ Viatu vya chini
 • ๐Ÿ‘ Viatu vya juu
 • ๐Ÿ‘ก Sendo za mwanamke
 • ๐Ÿฉฐ Viatu vya balleti
 • ๐Ÿ‘ข Buti la mwanamke
 • ๐Ÿ‘‘ Krawni
 • ๐Ÿ‘’ Kofia ya mwanamke
 • ๐ŸŽฉย Top Hat
 • ๐ŸŽ“ Kofia ya mahafali
 • ๐Ÿช–ย  Kofia ya kivita
 • โ›‘๏ธ Kofia za waokoaji
 • ๐Ÿ’„ Lipustiki
 • ๐Ÿ’ Pete
 • ๐Ÿ’ผ Mkoba
 • ๐Ÿฉธ Tone la damu
SOMA PIA  Apple yaendelea kuzikumbuka iPhone 5s, 6, 6 Plus na iPad

Endelea kutembelea tovuti yetu uweze kujifunza mambo mbalimbali kuhusu teknolojia. Soma makala zetu nyingine kuhusu teknolojia na matumizi yake hapa.

Comrade Mokiwa

Comrade Mokiwa

Muanzilishi wa Teknokona na Teknokona Group LTD - WWW.TEKNOKONAGROUP.COM

Muda wangu umegawanyika kati ya kazi kibunifu @teknokonagroup na uandishi wa habari za Teknolojia hapa Teknokona Blog.

| mhariri(at)teknokona.co.tz |

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

TeknoKona Teknolojia Tanzania