fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Mtandao wa Kijamii Twitter

Twitter Yafanya Makosa: Akaunti Mbalimbali Kuwa ‘Verified Kimakosa!

Twitter Yafanya Makosa: Akaunti Mbalimbali Kuwa ‘Verified Kimakosa!

Spread the love

Ilitangazwa rasmi na mtandoa wa twitter kwamba kila mtu ana uwezo wa kuomba kupata kitiki cha bluu (verified) na sio lazima mpaka awe mtu maarufu.

Som Kuhusina na Kuadhinisha (Verification) kutoka Twitter Kwa Kuingia –> HAPA <– na –> HAPA <–

Twiter

Twiter

Sasa basi najua unaweza ukawa unajiuliza kuwa mtandoa ulikoseaje wakati, mtu unatuma maombi, mtandoa unayachambua maombi yako ili kuhakikisha kweli kwamba unastahili tiki ya bluu.

Twitter inadai kuwa akaunti hizo ni Fake na zilipata tiki ya blue kimakosa wiki tuu baada ya mtandao huo kuruhusu watu wote kuanza kuomba tiki hiyo.

SOMA PIA  SIGNAL: Facebook Waja Na Kipengele Kipya Kinachosaidia Waandishi Wa Habari!

Baada ya kugundua hivyo mtandao ulichukau tiki yake na kufuta kabisa akaunti hizo

Hizi ni baadhi ya akanti za Twitter zilizofutwa

SOMA PIA  Inaaminika kuwa TIkTok ilikusanya taarifa za watu bila idhini yao

……

…..

SOMA PIA  Kama una akaunti ya Twitter badilisha nywila (nenosiri) yako mara moja!

Licha ya kwamba mtandao umeshafuta akaunti kibao ambazo ni fake mpaka sasa lakini bado vyanzo vingi vinajiuliza kwamba mtandao mkubwa kama huo umeruhusu vipi hilo kutokea?

Niambie hii umeipokeaje? niandikie hapo chini katika eneo la comment. ningependa kusikia kutoka kwako.

Kumbuka Kumbuka Kutembelea Mtandoa Wako Pendwa Wa TeknoKona Kila Siku Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Hashiman (@hashdough) Nuh

Mhariri Wa TeknoKona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Naomba Tuikuze TeknoKona Wote Basi.
Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

TeknoKona Teknolojia Tanzania