Hivi Karibuni iPhone Na Mac Zitaweza Kupita CAPTCHA Kwa Urahisi! #iOS #MacOS #Apple
CAPTCHA ni kitu gani? Hivi wakati unazunguka zunguka huko mtandoani hujawahi kutana na swali linaolouliza Are You A Robot?..
CAPTCHA ni kitu gani? Hivi wakati unazunguka zunguka huko mtandoani hujawahi kutana na swali linaolouliza Are You A Robot?..
Kwa wiki kadhaa zimekuwepo habari kuhusu uzinduzi wa bidhaa mbalimbali za Apple mwezi huu lakini wahusika walikuwa hawajathibitisha hilo. Sasa ni rasmi Septemba 14 ndio tarehe ya shughuli yenyewe.
Ukiachana na tafiti jaribu kujiuliza kitu kimoja hivi simu janja unayoitumia unaipenda kiasi gani? ikitokea mtu akaamua kukupa nyingine ambayo ni toleo la mbadala kabisa kawa mfano kutoka Android kwenda iOS utakuwa tayari?
Sio kitu cha ajabu kabisa kusikia kampuni fulani inafanyia kazi jambo fulani ambalo linatokana na maoni ya watu/wateja wa bidhaa fulani. Vivyo hivyo Apple wapo katika maboresho ya vitu mbalimbali ambavyo vina mashiko katika ulimwengu wa teknolojia.