
Galaxy Z Flip 5 Yavuja Katika Mtandao Huku Ikionekana Na Muonekano Mpya!
Ni wazi kwamba Galaxy Z Flip 5 inasubiriwa kwa hamu kabisa na hii inategemewa kuwa ndio muendelezo wa Galaxy Z Flip 4 ambayo mpaka sasa...

Xiaomi imezindua mfululizo wa simu za Redmi Note 12 na kuwahamasisha watumiaji kuishi kwa uhalisia zaidi.
Mfululizo wa simu za Redmi Note 12 unaendelea kuleta uwezo wa kipekee (mithili ya simu za kiwango cha juu) kwa simu za kiwango cha kati,...

Mtazamo Kuhusu Infinix Note 12 Ukilinganisha Na Samsung Galaxy A14
Kwa sasa ni kama watu wameamka, hii ni moja ya mtazamo wa mteja (customer experience) ambao nimekutana nao katika tafiti zangu nikiwa nafikiria ni simu...

Simu Janja Ya Oppo Find N2 Hii Hapa!
Oppo ni kampuni kubwa sana ambayo inajihusisha na teknolojia nyingi ikiwemo kutengeneza na kuuza simu na sasa imekuja na toleo la Oppo Find N2. (more…)

Manunuzi Makubwa Ya Kiteknolojia Kwa Kipindi Cha Miaka 10! NO.2
Ni wazi kuwa makampuni ambayo yanajihusisha kabisa na teknolojia huwa kuna muda yanauzwa au hata kununuliwa kwa dau kubwa sana, leo tunakuletea orodha ya makampuni...

Manunuzi Makubwa Ya Kiteknolojia Kwa Kipindi Cha Miaka 10! NO.1
Ni wazi kuwa makampuni ambayo yanajihusisha kabisa na teknolojia huwa kuna muda yanauzwa au hata kununuliwa kwa dau kubwa sana, leo tunakuletea orodha ya makampuni...

Fuko La Uzazi La Bandia: Fahamu Kuhusu EctoLife, Teknolojia Ya Kupata Mtoto Bila Kubeba Mimba! #EctoLife
Kama ni mpitiaji mpitiaji mzuri kwenye mtandao basi pengine umekutana na habari hii ambayo pengini kwa kiasi kikubwa imewashtua wengi sana, teknolojia hii si nyingine...

Vitu muhimu vya Kuangalia kabla ya Kununua TV / Runinga 📺. #Maujanja
Je ni mambo gani ni muhimu sana ya kuangalia wakati wa kufanya maamuzi ya kununua TV / Runinga? Leo tutakupa ushauri bora ili kuhakikisha unapata...

Magic Vs: Honor Yatambulisha Simu Janja Ya Kujikunja (Fold) Tena Nyepesi!
Soko la simu janja za kujikunja linazidi kutanuka kwa kiasi kikubwa, watengenezaji wengi wa simu janja wameingia katika soko hili. Honor nao wameamua kuja na...

Huawei Nova Y61 Hii Hapa: Baadhi Ya Sifa Zake!
Huawei licha ya kupitia changamoto nyingi katika soko miaka kadhaa iliyopita bado wanahakikisha kuwa wateja wake wanapata bidhaa kutoka kwao. (more…)
No Comment! Be the first one.