fbpx

Assassin’s Creed kwenye Chrome

Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr +
Sambaza

Sehemu mbalimbali duniani kucheza magemu ni sehemu mojawapo ya maisha na kwa wengine unafikia wakati anapata uraibu, sasa Google wapo mbioni kufanya majaribio gemu la Assassin’s Creed kwenye Chrome.

Tukizungumzia suala zima la magemu basi ni kawaida mtu kuzungumzia kompyuta/kifaa kingine maalum ambacho kimetengenezwa kwa ajili ya burudani hiyo. Google wanataka kujaribu kuambatanisha gemu la Assassin’s Creed kwenye kivinjari chake.

Badala ya kuwa na gemu hilo likiwa limehifadhiwa kwenye kompyuta, utaweza kucheza gemu hilo kupitia intaneti lakini angalau kasi yake iwe na 25Mbps.

kwenye Chrome

Gemu la Assassin’s Creed kujaribiwa kucheza kupitia kivinjari/intaneti.

Majaribio hayo yatafanywa na watu wachache baada ya KUJAZA FOMU YA MAOMBI na ukibahatika basi utaweza kucheza gemu hilo bure Okt. 5 2018.

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Fanya Simu Yako Ya Android Au iOS Itaje Jina La Mpigaji, Ukipigiwa!
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.