fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania
Intaneti Mtandao wa Kijamii

CIA Yajiunga Twitter Kwa Staili Ya Kuvutia

CIA Yajiunga Twitter Kwa Staili Ya Kuvutia

Spread the love

CIAShirika la kijasusi la Marekani (CIA) limejiunga Twitter wikiendi hii!

Twiti yao ya kwanza ikisema ‘Hatuwezi kuthibitisha au kukataa ya kwamba hii ni twiti yetu ya kwanza’! Twiti hiyo hadi sasa ishasambazwa (retweets) zaidi ya mara laki mbili ishirini.

Akaunti yao ishapata zaidi ya Followers 420,000…NDIYO, Followers zaidi ya laki 4 ndani ya masaa 24!

 

Sasa cha kuwa makini tuu mtu asije akatwit visivyotakiwa kutwitiwa! 🙂

 

 

Comrade Mokiwa

Mbunifu na mpenda teknolojia.

Muanzilishi wa Teknokona, TechMsaada na Teknokona Group LTD - WWW.TEKNOKONAGROUP.COM

Muda wangu umegawanyika kati ya kazi kibunifu @teknokonagroup na uandishi wa habari za Teknolojia hapa Teknokona Blog.

| mhariri(at)teknokona.co.tz |

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

TeknoKona Teknolojia Tanzania