fbpx

App ya mPaper Yaingia Kwenye Tuzo za Apps Bora Barani Afrika

Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr +
Sambaza

App inayokua kwa kasi nchini ya mPaper inayowawezesha watumiaji wake kununua na kusoma magazeti mbalimbali imefanikiwa kuorodheshwa kati ya apps mbalimbali zinazowania tuzo.

App ya M-Paper inakuwezesha kununua na kusoma magazeti kwa bei nafuu na kwa urahisi zaidi katika simu yako. – Soma -> M-Paper: App ya Tanzania Inayokupatia Magazeti Mbalimbali Kwenye Simu/Tableti Yako

Tuzo hizo zinazotolewa na TheAppsAfrica.com kwa mwaka huu ziliusisha maombi kutoka apps zaidi ya 200 kutoka nchi 21.

Tuzo hizo zinazofahamika kama Appsafrica Innovation Awards 2015 zitatolewa nchini Afrika Kusini katika jiji la Cape Town mwezi Novemba tarehe 16.innovationawardscapetown-250

Katika tuzo hizo app ya mPaper inawania tuzo mbili, pia kuna apps nyingine kutoka Tanzania – Guumzo, Ninayo na TTC Mobile.

INAYOHUSIANA  Mapya kutoka Apple: MacBook Air 2018 na Mac Mini mpya

Orodha nzima ni kama ifuatavyo;

1. Best disruptive innovation
MicroEnsure (UK),  Esoko (Ghana), Talking Bookz (Nigeria)Picup – South AfricaOpera’s Sponsored Web Pass – Nigeria

2. Best mobile innovation
Mobu – (Kenya), Chura – (Kenya), bookly – (South Africa), Ninayo – (Tanzania)M-vendr – (UK), ShoOwer – Cameroon

3. Best non data mobile innovation 
TTC Mobile – (Uganda and Tanzania), Unotify (Rwanda), Totohealth (Kenya), GeoPoll (US and Kenya)SaferMom (Nigeria)

4. Best African app (App ya Kiafrika zaidi)
Cross Dakar City (Senegal)bookly – (South Africa), Truppr (Nigeria), mPaper (Tanzania) and Tuluntulu (South Africa)

INAYOHUSIANA  Tigo kuwabadilishia simu wenye simu feki! #Ofa

5. Best fintech innovation
Mergims (Rwanda)LipaPlus (Kenya) , SimbaPay (UK) ,VCpay (South Africa) ,Mastercard/ Standard Bank MasterPass app (South Africa) and  Verifone Mobile Money (Kenya)

6. Best health innovation (Eneo la Afya)
MOBicure (Nigeria)GiftedMom (Cameroon)Telemedicine Africa (South Africa)emocha Mobile Health (USA) and The Medical Concierge Group (Uganda)

7. Best educational innovation (Eneo la Elimu)
mPaper (Tanzania)Flippy Campus (Ghana/Nigeria)bookly – (South Africa), SYNA (Nigeria) , Xander Apps (South Africa) and Bambisa (South Africa)

8. Social impact award 
codeX (South Africa)bookly – (South Africa), 1task1job (Cameroon), UjuziKilimo (Kenya),  and Afrikstart (UK).

INAYOHUSIANA  Udukuzi WhatsApp: Udukuzi mkubwa umefanyika kwa watumiaji wa WhatsApp

9. Best entertainment innovation (Kwenye Masuala ya Burudani)
Bozza Mobile (South Africa)GAMSOLE – NigeriaMyMusic (Nigeria)Guumzo (Tanzania) and Media24 HYD 3D (South Africa)

10. Women in tech award  (Tuzo ya Wanawake ktk Teknolojia)
Emefa Kpegba (OMobileFunding – Togo), Anike Lawal (Mamalette -Nigeria)Linet Kwamboka (DataScience – Kenya)Zimba Women (Uganda) na Kelechi Anyadiegwu (Zuvaa -USA/Nigeria)

 

TeknoKona inapongeza kampuni ya SmartCodes, watengenezaji wa app hiyo kwa kuingia katika kinyang’anyiro hicho na tunaungana nao kusubiria tarehe 16 Novemba tukitegemea ushindi.

appsAfrica.com
 M- Paper | Google Play
Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. | mhariri@teknokona.com |

1 Comment

  1. Pingback: App ya mPaper Yaingia Kwenye Tuzo za Apps Bora Barani Afrika | Teknolojia

Leave A Reply