Hilo jambo leo naacha kama swali tuu…ila nakaribisha mawazo yenu, nategemea kesho kuandika zaidi kuhusu hili jambo. Je vijana wa Tanzania wanaotumia huduma za intaneti ni asilimia ngapi kati yao utafuta mambo mengine zaidi ya Facebook? 🙂
Mbunifu na mpenda teknolojia.
Muanzilishi wa Teknokona, TechMsaada na Teknokona Group LTD - WWW.TEKNOKONAGROUP.COM
Muda wangu umegawanyika kati ya kazi kibunifu @teknokonagroup na uandishi wa habari za Teknolojia hapa Teknokona Blog.
| mhariri(at)teknokona.co.tz |
No Comment! Be the first one.