fbpx

Tuzo ya mwaka kwa Tecno Phantom 8

0

Sambaza

Sote tunafahamu jinsi gani bidhaa za Tecno zilivyotapakaa nchi za Afrika kwa kutokea kupendwa na wengi, sababu kubwa ikiwa ni unafuu wa kuweza kupata simu husika.

Kwenye ushindani kati ya pande mbili au zaidi lazima atokee mmojawapo ambae ni bora zaidi kuliko wengine na ndivyo ilivyotokea kwa Tecno baada ya kushinda “ Simu bora ya mwaka 2018” kupitia Tecno Phontom 8 tuzo zilizoandaliwa na Mobex Innovation Africa.

Tecno Phantom 8 ilishindanishwa na rununu Huawei Y7, Tecno Camon X na Nassco katika hafla iliyofanyika Septemba 29 2018 huko Ghana.

Tecno Phantom 8

Tuzo za Mobex Africa Innovation 2018 ambazo Tecno Phantom 8 ilishinda.

Tecno Phantom 8

Tecno Phantom 8 yashinda tuzo kwa kuwa simu bora ya mwaka 2018.

Hongera kwao Tecno ambao kwa hakika wameweza kupenya soko baarani Afrika.

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Oreo yafika kwenye Samsung Galaxy J7 Prime
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.