fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania
Tanzania

TCRA: Simu bandia 4%, zisizotambulika 13% – Kufikia Machi 2016

TCRA: Simu bandia 4%, zisizotambulika 13% – Kufikia Machi 2016

Spread the love

Kupitia akaunti yao ya Twitter, TCRA wameoonesha data zinazoonesha hali ya simu bandia (maarufu kama feki) zinazotumika kufikia tarehe 31 Machi 2016.

Kitu kizuri katika data hizi ni kwamba zinaonesha simu nyingi zinazotumika ni origino kwa sasa. Hii ni kwa asilimia 83%

Simu bandia (hazijasajiliwa kimataifa) ni asilimia 4 tuu ya simu zote zinazotumika huku asilimia 13 zinaonekana namba zake za usajili wa kimataifa (IMEI) zinaingiliana. Hili si sawa ila ni vigumu kujua ipi ni origino na ipi imebambikiziwa tu IMEI namba.

SOMA PIA  Dawasco wazindua mfumo wa LUKU kwenye maji

simu bandia

Je ushahakiki simu yako kujiridhisha? Kama bado basi soma hapa -> Jinsi ya kuangalia kama simu ni feki/bandia au la!

Chanzo: @TCRA – Tanzania

Comrade Mokiwa

Mbunifu na mpenda teknolojia.

Muanzilishi wa Teknokona, TechMsaada na Teknokona Group LTD - WWW.TEKNOKONAGROUP.COM

Muda wangu umegawanyika kati ya kazi kibunifu @teknokonagroup na uandishi wa habari za Teknolojia hapa Teknokona Blog.

| mhariri(at)teknokona.co.tz |

Comment

TeknoKona Teknolojia Tanzania