Kama unafuatulia mtandao wako wa TeknoKona mara kwa mara basi utakuwa unafahamu sababu iliyosababisha ununua wa umeme kupitia LUKU kusumbua sana hivi karibuni.
Sababu kubwa ilikuwa uvunjwaji wa mkataba wa huduma hiyo kati ya Tanesco na kampuni ya Selcom ambao ni moja ya watoa huduma wakubwa wa mauzo ya umeme. Kusoma kwa ndani soma hapa – Tanesco & Selcom: Sababu ya Kushindwa Kununua Umeme wa Luku
Ila inaonekana wamefanikiwa kumaliza tofauti zao na sasa kampuni ya Selcom ambao ni wapinzani wa MaxMalipo wataendelea kutoa huduma hiyo kama kawa.
No Comment! Be the first one.