fbpx

Satelaiti nyepesi kupita zote duniani yarushwa angani

Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr +

ICT CONFERENCE 2019

Sambaza

India imekuwa nchi ya kwanza duniani kutuma angani sateliti nyepesi zaidi kupata kutokea.

Kwa mujibu wa habari zilizotolewa na vyombo vya habari kadhaa kundi moja la wanafunzi wenye vipaji wa elimu ya anga walitengeneza  satelaiti hiyo waliyoiita Kalamsat-V2, na ilirushwa angani na shirika la utafiti wa mambo ya anga la India (ISRO) katika kituo cha anga Sriharikota.

Satelaiti nyepesi

Kalamsat-V2 yenye kilo 1 na gram 26 ndio satelaiti nyepesi kupata kurushwa angani.

Satelaiti hiyo (Kalamsat-V2) imeyoundwa/kujengwa na wanafunzi wanaofanya kazi na shirika binafsi liinaitwa “Space Kidz India” huko Chennai, India.

Satelaiti nyepesi

Timu iliyotengeneza satelaiti nyepesi zaidi duniani.

Kalamsat-V2 kazi yake ni kupiga picha kwa ajili ya kuimarisha ulinzi wa mipaka ya India na imegharimu takribani shilingi milioni arobaini za kitanzania.

Facebook Comments

Sambaza

ICT CONFERENCE 2019

INAYOHUSIANA  Mbinu 10 Za Kutumia Intaneti Kwenye Kompyuta!
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.