fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania
apps

Pata App ya Facebook Hello! (APK)

Pata App ya Facebook Hello! (APK)

Spread the love

Siku za hivi karibuni tuliandika kuhusu app mpya kutoka Facebook ifahamikayo kama Facebook Hello, (Bofya hapa kusoma kuhusu app hiyo).

Tatizo ni kuwa kwa sasa app hiyo utaweza kuipakua kwenye Google Play kama upo nchi kama Marekani na nyingine chache, kupitia TeknoKona tumefanikiwa kupata faili la app hiyo na hivyo nawe utaweza kuweka app hii kwenye simu yako.

SOMA PIA  Uwezo wa Kutumia WhatsApp kwenye Mtandao (Web) Waja Kwa Watumiaji wa iPhone

Bofya hapa kushusha (download) APK ya Facebook Hello – Facebook Hello TeknoKona

Bofya Kusoma kuhusu jinsi ya kushusha na kupakua (INSTALL) app za Android bila kupitia Google Play! BOFYA! 

Comrade Mokiwa

Mbunifu na mpenda teknolojia.

Muanzilishi wa Teknokona, TechMsaada na Teknokona Group LTD - WWW.TEKNOKONAGROUP.COM

Muda wangu umegawanyika kati ya kazi kibunifu @teknokonagroup na uandishi wa habari za Teknolojia hapa Teknokona Blog.

| mhariri(at)teknokona.co.tz |

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

TeknoKona Teknolojia Tanzania