fbpx

Helios Towers, wamiliki na waendeshaji minara Afrika sasa kwenye soko la hisa Uingereza.

Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr +

ICT CONFERENCE 2019

Sambaza

Kampuni ya Helios Towers, inayojihusisha na uwekazaji na usimamiaji wa minara ya mawasiliano ya simu barani Afrika yajiingiza rasmi kwenye soko la hisa la jijini Landani, Uingereza.

Helios towers kwenye soko la hisa uingereza

Helios Towers sasa kwenye soko la hisa Uingereza la jijini London.

Kampuni ya Helios Towers inamiliki na kusimamia minara katika mataifa mbalimbali Afrika na hii ni pamoja na; Kongo (DRC), Ghana, Afrika Kusini na Tanzania.

INAYOHUSIANA  Microsoft Kutumia Utashi wa Kompyuta (AI) kutatua Saratani

Helios wamerahisisha uwekezaji wa sekta ya mawasiliano katika miundombinu ya minara ya simu kwa kuwezesha mnara mmoja kutumiwa na mitandao mbalimbali ya simu.

helios towers africa

Kwa sasa makampuni ya huduma za simu yanakuwa ni wapangaji tuu katika minara inayomilikiwa na Helios Towers. Helios Towers inasimamia minara hiyo na hivyo kupunguza gharama kwa mitandao ya simu kwani zamani ilikuwa kila mtandao iliwabidi kumiliki na kusimamia minara yake.

INAYOHUSIANA  TTCL waachana rasmi na teknolojia ya CDMA, sasa ni 3G na 4G tuu

Soma pia – Airtel wauza Minara yao ya Simu – Dalili nzuri au mbaya?

Kwa Tanzania minara ya kampuni hiyo inatumika kuwafikia wateja wa Tigo, Airtel, Vodacom na Halotel.

Chanzo: CNBCAfrika na vyanzo mbalimbali

Facebook Comments

Sambaza

ICT CONFERENCE 2019

Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.