Je wewe ni mtumiaji wa mtandao wa Tigo?
Mtandao huo umeomba msahama kwa tatizo la huduma zake kipindi cha wikiendi iliyoisha, hasa hasa jumapili.
Wamesema kisa cha huduma zao kusumbua kulisababishwa na kukatika kwa mkongo wa mawasiliana wanaoutumia.
[…] post Tigo Waomba Msamaha Kwa Huduma Mbovu Wikiendi appeared first on […]