Habari na karibu. Juma lililopita lilisheheni habari nyingi na maujanja hapa Teknokona. Kama ulikosa makala na habari hizi, huu ndio mpango mzima kama ulivyokuwa:
Kwenye Maujanja:
Tumia Simu kama Vifaa kumi Tofauti vya Kielektroniki ->> http://goo.gl/0pT31S
Tulizungumzia Mbinu za Kutafuta Simu Yako na Google Play ->> http://goo.gl/2xcid3
Mambo 10 Ya Kushangaza Unayoweza Kufanya kwenye Tovuti ya Google ->> http://goo.gl/zTGdus
Tulifundisha Ujanja wa Kujua nini Kinaita kwenye Simu Bila Kuishika Kazini au Unapoangalia Muvi ->> http://goo.gl/SZowDQ
Jinsi Ya Kufungua Akaunti ya Apple ID Bila Taarifa za Benki ->> http://goo.gl/C0CZcU
Kuhusu WhatsApp:
Tulieleza Jinsi ya Kutuma muziki kwa WhatsApp ya IOS ->> http://goo.gl/uqd7Mp
Tukakujulisha hii Habari Mpya kwa Makundi ya WhatsApp ->> http://goo.gl/30ZdwU
Mpya Instagram:
Kuhusu kubadilisha (‘ku-edit’) maelezo ya Picha Instagram ->> http://goo.gl/OW48Ql
Kuhusu Tangazo la Kazi kutoka Viettel ->> http://goo.gl/WC2ryY
Appu na Programu:
App ya Wiki ya Kurefushia Chaji ->> http://goo.gl/ecfpNF
Microsoft Office ya Simu/ Tableti Yako ->> http://goo.gl/W6H0m9
Tahadhari ya App za Bure ->> http://goo.gl/G1N62T
Appu 10 Muhimu kwa Nokia Asha ->> http://goo.gl/JBqTXO
Simu Mpya:
Tambua Simu Mpya ya Microsoft Lumia 535 ->> http://goo.gl/c11IZb
Habari Mseto:
Gari lisilotumia Mafuta Kutoka Uganda ->> http://goo.gl/60Dx8m
Barabara ya Sola huko uholanzi ->> http://goo.gl/ykEWLX
Na hii ya Kijana aliyetumia i-phone 99 kumtongoza mwanadada ->> http://goo.gl/cNBy8w
No Comment! Be the first one.