fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania
Mtandao wa Kijamii

Mtumiaji wa Twitter? Fahamu tweet yako ya kwanza kutweet! au ata ya mwingine

Mtumiaji wa Twitter? Fahamu tweet yako ya kwanza kutweet! au ata ya mwingine

Spread the love

Je wewe ni kikongwe katika mtandao wa Twitter? Umesahau tweet yako ya kwanza kabisa? au kuna kamtu kanajifanya ni ka’big wig twitani wakati kameingia juzi tuu?? Hii ndio njia ya kuona tweet ya kwanza kabisa kutumwa na wewe au mtu mwingine.

Kupitia link spesheli katika mtandao wa Twitter utaweza kugundua kwa urahisi tweet yako ya kwanza katika mtandao huo wa kujamii.

SOMA PIA  Facebook imebadili jina na kuitwa 'Meta'

Ukifungua mara ya kwanza itakuonesha tweet yako….

…….ila pia unaweza weka handle ya mtu mwingine na utaona tweet ya kwanza kabisa kutoka kwa mtu huyo, iwe alimjibu mtu au vipi..ila tweet yake ya kwanza kabisa kama haikufutwa basi utaiona..

tweet yako ya kwanza twitter

Tembelea mtandao wa Twitter kupitia hapa -> https://discover.twitter.com/first-tweet

SOMA PIA  Twitter yaanza kutumia Algorithmic Timeline

 

Endelea kutembelea mtandao wako wa TeknoKona – kumbuka kutu’follow kupitia mtandao wa Twitter @teknokona na Instagram @teknokona

Comrade Mokiwa

Mbunifu na mpenda teknolojia.

Muanzilishi wa Teknokona, TechMsaada na Teknokona Group LTD - WWW.TEKNOKONAGROUP.COM

Muda wangu umegawanyika kati ya kazi kibunifu @teknokonagroup na uandishi wa habari za Teknolojia hapa Teknokona Blog.

| mhariri(at)teknokona.co.tz |

Comment

TeknoKona Teknolojia Tanzania