EASports watengenezaji wa gemu maarufu la mpira wa miguu linalotumia jina la FIFA leo wametoa ‘trailer’ la toleo linalokuja la gemu ila linalochukua jina la FIFA14.
Kiwango cha teknolojia katika toleo hili kinaonekana ni cha juu zaidi kuzidi wapinzani wao wengi ikiwa ni pamoja na Real Football na wengine.
Toleo la FIFA14 linategemewa kuingia sokoni hao ifikapo mwezi wa tisa kwa ajili ya vifaa vya Kompyuta, XBox 360 pamoja na PlayStation 3. Inaonekana wale wa vifaa kama iPad na Androids itabidi kusubiri kidogo.
Angalia video inayoonesha mabadiliko yanayokuja katika toleo hili.
No Comment! Be the first one.