fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Nothing

Nothing Phone 1: Bidhaa nyingine kutoka kampuni ya Nothing!
AndroidIntanetiNothingsimuTeknolojiaUchambuzi

Nothing Phone 1: Bidhaa nyingine kutoka kampuni ya Nothing!

Wiki iliyopita, kampuni ya Nothing ilizindua bidhaa yao ya pili, ikiwa ni simu, inayoitwa Nothing Phone 1. Simu hii ni mwendelezo wa juhudi za kampuni hiyo katika kutengeneza bidhaa ambazo zitafanya muunganiko wa kielektroniki kushindana na miunganiko ya bidhaa (Ecosystem) kutoka kampuni nyingine, hasa Apple ambao kwa sasa ndio wenye muunganiko bora zaidi kwa bidhaa…

TeknoKona Teknolojia Tanzania