fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania
apps Intaneti Kompyuta Teknolojia

FlipBoard Sasa Kupatikana Kwenye Kompyuta Pia

FlipBoard Sasa Kupatikana Kwenye Kompyuta Pia

Spread the love

App maarufu ya mfumo wa gazeti kwenye simu na tableti za Android na iOS inayofahamika kwa jina la FlipBoard, inapatikana sasa kwenye kompyuta kupitia mfumo wa mtandao(Web).

Hii ni tabribani zaidi ya miaka 5 tokea app hiyo iingie kwa mara ya kwanza kwenye soko la apps za iOS, hususani iPads na kupata mafanikio makubwa sana.Web-Launch-1200x750

Waanzilishi wa app hii waliileta kipindi mitandao ya habari ilikuwa na mionekano mibaya na mtumiaji wa kawaida inasemakana alikuwa anamaliza kiasi kikubwa cha data yake kwa ajili ya kufungua mitandao ya habari n.. Kupitia FlibBoard usomaji unaraisishwa zaidi, kwa sasa unaweza kupata habari zilizopangwa vizuri na pia kukupa wewe uhuru wa kufanya mabadiliko pia.

SOMA PIA  Windows 11 kuzinduliwa bila ya programu tumishi za Android

Unaiweza kuipata FlipBoard kwenye kifaa cha Android na iOS, Bofya -> Google Play | iOS (iPhone & iPad)

Na kwa sasa unaweza tumia FlipBoard kwenye mtandao hapa -> https://flipboard.com/

Comrade Mokiwa

Mbunifu na mpenda teknolojia.

Muanzilishi wa Teknokona, TechMsaada na Teknokona Group LTD - WWW.TEKNOKONAGROUP.COM

Muda wangu umegawanyika kati ya kazi kibunifu @teknokonagroup na uandishi wa habari za Teknolojia hapa Teknokona Blog.

| mhariri(at)teknokona.co.tz |

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

TeknoKona Teknolojia Tanzania