fbpx

Favorites: Twitter Yafanya Mabadiliko

Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr +
Sambaza

Alama ya kuonesha upendo/kupenda/kukubaliana na tweet ya mtu yaani ‘favorite’ katika mtandao wa Twitter kubadilishwa.

Mtandao huo wa Twitter umetangaza rasmi leo hii ya kwamba watabadilisha alama hiyo na kuleta alama ya kopa – nyekundu.

Tofauti ya muonekano, kabla na baada ya mabadiliko hayo

Tofauti ya muonekano, kabla na baada ya mabadiliko hayo

Alama ya ‘favorite’ ya sasa katika mtandao wa Twitter ilikuja rasmi mwaka 2006 na ililenga kukuwezesha kuwekea katika tweet yeyote ambayo ungependa kuiona siku za mbele, na sasa wanataka maana kubwa kuwa ‘umependa’ tweet husika. Yaani kama vile ‘Like’ kwenye mtandao wa Facebook.

INAYOHUSIANA  Jinsi ya kufanya faili kuwa dogo kwenye kompyuta

Je wewe ni mtumiaji wa mtandao wa Twitter? Una maoni gani juu ya mabadiliko haya?

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. | mhariri@teknokona.com |

1 Comment

  1. Pingback: Favorites: Twitter Yafanya Mabadiliko | Teknolojia

Leave A Reply