Mwanamuziki Davido kutoka nchini Nigeria kupitia akaunti yake ya Twitter aandika ujumbe sekunde chache baada ya kutangazwa mshindi wa shindano la jumba la Big Brother Africa unaonekana kuwalenga Diamond na mshindi wa shindano hilo Idris.
N they cheat again lol
Twit hiyo ilisomeka ‘Wadanganya tena’…na wengi walichukulia kama akisema ‘Watanzania…wamedanganya tena’.
SOMA PIA Injinia wa Google adai Mfumo wa Roboti umepata Hisia, Unajitambua. Google wamsimamisha kazi
Watu mbalimbali ikiwa pamoja na wanaijeria walijitokeza kwa wingi wakiunga mkono twit hiyo, na wachache walipingana naye.
I just dey observe “@deejayneptune: #OBO na real lol “@iam_Davido: N they cheat again lol
How are you sure? “@iam_Davido: N they cheat again lol
TeknoKona inampongeza Idris kwa kufanikiwa kupeperusha bendera ya Tanzania!
No Comment! Be the first one.