fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Tag: Adware

Matangazo Yamezidi? Jinsi Ya Kuondoa Matangazo Ya Kimtandao Kwenye Kompyuta!
IntanetiKompyutaMaujanjaTeknolojiaUsalama

Matangazo Yamezidi? Jinsi Ya Kuondoa Matangazo Ya Kimtandao Kwenye Kompyuta!

Hatuongelei matangazo yale ya kawaida kama yale unayoyaona Facebook na Google wameyaweka katika mitandao yao. Hapa tunaongelea zile program zisizotakiwa ambazo zinachukua mamlaka katika vivinjari kama vile Google Chrome na Mozila firefox  na kuonyesha matangazo mengi sana kipindi unapotembelea mitandao tofauti tofauti  katika kompyuta yako.

TeknoKona Teknolojia Tanzania