fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

apps Mtandao wa Kijamii whatsapp

WhatsApp Kuruhusu Kujiunga Katika ‘Video Call’ Za Makundi!

WhatsApp Kuruhusu Kujiunga Katika ‘Video Call’ Za Makundi!

Spread the love

kipengele hiki kipya kutoka WhatsApp kinakuwezesha kujiunga katika kundi la watu ambao wanaongea kwa kupitia huduma ya simu za kuonana ndani ya mtandao huo.

Uzuri wa hii ni kwamba hata kama watu wameshaanza kuongea labda wapo wanne na wewe unaweza ukaongezeka na ukawa watano.

Simu Za Vikundi Katika Mtandao Wa WhatsApp

Simu Za Vikundi Katika Mtandao Wa WhatsApp

Uzuri wa hii ni kwamba utaweza kujiunga na mazungumzo hayo wakati ukiwa tayari kwa ridhaa yako mwenyewe, huduma hii inafanana na Zoom na hata Google Meet.

Kwa ukubwa ambao mtandoa wa WhatsApp unao kipengele hichi kitakuwa ni kikubwa sana maana mtandoa unapatikana kwa kiaisi kukubwa kuliko mitandao mingine ambayo unafanya huduma inayofanana.

Pata Picha Kwanza…

WhatsApp Na Simu Za Video Za Vikundi

WhatsApp Na Simu Za Video Za Vikundi

Ushapata Picha Sio?

Vile vile unaweza kuona kwamba nani na nani wamealikwa kwenye mazungumzo hayo na wakina nani ambao wamealikwa lakini bado hawajajiunga na mazungumzo hayo.

SOMA PIA  Fahamu Kuhusu ShuleDirect na Harakati zao ktk Kusaidia Elimu Tanzania - Mahojiano na Faraja Nyalandu

Ningependa kusikia kutoka kwako, niandikie hapo chini sehemu ya comment nini maoni yako kuhusu hili.

Kumbuka Kutemebelea Mtandao Wako Pendwa Wa TeknoKona Kila Siku Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Hashiman (@hashdough) Nuh

Mhariri Wa TeknoKona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Naomba Tuikuze TeknoKona Wote Basi.
Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

TeknoKona Teknolojia Tanzania