fbpx
apps, Google, Intaneti, Teknolojia

Walmart: Sasa Kuagiza Vyakula Kutumia Kifaa cha Sauti cha Google

walmart-sasa-kuagiza-vyakula-kutumia-google
Sambaza

Makamu wa Rais mkuu wa kampuni ya kuuza chakula Walmart  amesema katika ukurasa wao wa  habari kuwa kwa sasa wateja wa kampuni hiyo wataweza kuagiza vyakula kupitia vifaa vyao vya mawasiliano vya nyumbani pia katika simu zao kwa kutumia kifaa cha kiroboti cha sauti cha Google.

Walmart Sasa Kuagiza Vyakula
Walmart Sasa Kuagiza Vyakula Kupitia Vifaa vya Google: Karakana ya vyakula ya Walmart

Uwezo huo wa kutumia kifaa cha sauti cha google (Google Assistant) kuagiza kifaa utaunganishwa kwa kila akaunti kuanzia wiki hii hivyo watumiaji wa walmart wategemee kupata huduma hii mpya kutoka kwa kampuni yao pendwa.

INAYOHUSIANA  Bibi wa miaka 81 atengeneza app yake ya kwanza kwa ajili ya iOS

Je kama wewe ni mteja wa  kampuni ya Walmart unaonaje njia hii mpya ya kuagiza vyakula?

Facebook Comments

Sambaza
0 Comments
Share
Tags: , ,

Lymo

A Cyber Security Guy | A student | I Know A lot