fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

tecno

simu Uchambuzi

Ushauri wa Simu ya kununua kulingana na Bei / Bajeti

tecno

Kwenye kununua simu swali kubwa linalosumbua watu wengi ni “Je, ninaweza kununua simu gani?”. Ila mara nyingi suala la simu ya kununua linahusisha ufahamu wa bei au bajeti yako kwanza.

Vigezo vingi kama mwonekano, camera, utunzaji chaji na hata ufanyaji kazi wa simu huweza kusaidia kufanya maamuzi hayo, lakini suala la mwisho na kuu kabisa huwa gharama za manunuzi. “Je, kwa kiasi cha pesa nilicho nacho, ninaweza kununua simu ipi?”

Kumekuwa na wimbi kubwa sana la maongezeko ya matumizi ya simu, hasa simu janja katika jamii katika miaka ya hivi karibuni, na wimbi hili huenda likaendelea kwa kipindi kirefu baadae. Tunazipataje simu hizi? Wapo ambao hupewa na ndugu, jamaa ama taasisi bure lakini kundi kubwa huenda kujinunulia madukani au kwa mtu (almaarufu “used”).

Katika makala hii, tumesaidia kukutajia simu ambazo ni chaguzi bora kwa bei fulani ili kusaidia uamuzi wa kununua simu kwako, kwa ndugu ama mtu wa karibu.

Kuanzia Tshs 100,000/- hadi Tshs 194,000/-

HuaweiY5Prime2018

Huawei Y5 Prime 2018

 

1. Huawei Y5 Prime (2018). – Soma Uchambuzi Teknokona/Huawei Y5 Prime 2018
2. Nokia C1 . – Soma Uchambuzi Teknokona/ Nokia C1
3. Infinix Smart 4. – Soma Uchambuzi Teknokona / Infinix Smart 4
4. Samsung Galaxy A2 Core. – Soma Uchambuzi Teknokona / Samsung Galaxy A2 Core
5. Tecno R7.

SOMA PIA  Mambo 8 ambayo si rahisi kujua kwenye simu za Samsung Galaxy

Kuanzia Tshs 195,000/- hadi Tshs 350,000/-

redmi 8a

Xiaomi Redmi 8A

 

1. Xiaomi Redmi 8A – Soma Uchambuzi Teknokona / Redmi 8A
2. Samsung Galaxy A11 – – Soma Uchambuzi  Teknokona / Samsung Galaxy A11
3. Tecno Spark 5 – Soma Uchambuzi Teknokona / Tecno Spark 5
4. Infinix Hot 9
5. Nokia C2

Kuanzia Tshs 351,000/- hadi Tshs 550,000/-

REDMI NOTE 8

Xiaomi Redmi Note 8

 

1. Xiaomi Redmi Note 8
2. Samsung Galaxy A21s
3. Infinix Note 7
4. Tecno Camon 15
5. Oppo A31

Kuanzia Tshs 551,000/- hadi Tshs 750,000/-

Apple iPhone 7+

iPhone 7 Plus

 

1. Apple iPhone 7+
2. Nokia 6.2
3. Samsung Galaxy A51
4. Xiaomi Redmi Note 9
5. Oppo A52

SOMA PIA  SAMSUNG Kutengeneza Simu ya Kukunja (flip phone) Tena

Kuanzia Tshs 751,000/- hadi Tshs 950,000/-

nokia 81

Nokia 8.1

1. Nokia 8.1
2. Samsung Galaxy A71
3. Oppo Reno 3
4. Oneplus 7
5. Apple iPhone 8

Kuanzia Tshs 950,000/- na kuendelea.

Samsung Galaxy A80

Samsung Galaxy A80

1. Samsung Galaxy A80
2. Apple iPhone X na kuendelea.
3. Samsung Galaxy S10, Note 10 na kuendelea.
4. Oneplus 8 Pro
5. Xiaomi Mi Note 10.

Soma Makala mbalimbali zinazohusu simu hapa Teknokona -> Teknokona/Simu

Ikumbukwe hizi ni baadhi tu ya simu, na mpangilio wake haujatajwa katika madaraja kuanzia bora zaidi au bora kiasi. Muendelezo wa makala zaidi utafuata kwa ajili ya matoleo mengine pia.

Je ni simu gani unaikubali sana katika orodha hii? Je kama una bajeti makala imekurahisisha kufahamu simu ya kununua?

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

TeknoKona Teknolojia Tanzania