fbpx

Uchambuzi wa simu ya Tecno Phantom 9 (Video)

Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr +
Sambaza

Tulishaandika uchambuzi wa kirefu kuhusu simu ya Tecno Phantom 9, leo tumekuandalia video inayoonesha nini utakuta ndani ya boksi jipya la simu ya hii.

Pia kuna video ya uchambuzi wa kifupi wa simu hii kutoka kwenye chaneli yetu ya YouTube.

Je utakuta nini kwenye boksi la simu ya Tecno Phantom 9?

Uchambuzi wa simu hii kwa kifupi:

Tazama video nyingi zaidi za simu mbalimbali kupitia akaunti yetu ya YouTube. YouTube/TeknoKona.

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Oppo Find X toleo lijalo utashangaa
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.