Mixed-Media Tweets ni mfumo wa kutuma tweet ikiwa na picha na video katika Tweet moja hiyo hiyo.
Lakini ukiachana na hayo ni kwamba baadhi ya vipengele vya zamani pia vitafanyiwa maboresho kadha wa kadha.
Inaelezeka kuwa kutakuwa na uwezo wa kuweka picha nne na video moja katika tweet moja kitu ambacho hapo awali hakikuwezekana.
The @Twitter Android app also started adding support for mixing medias in tweets (videos and photos in the same tweet) pic.twitter.com/pwfWysPoap
— Dylan Roussel (@evowizz) May 4, 2022
Kipengele kingine kinachohissiwa ni uwezo wa kutoa tuzo katika tweet husika. kipengele hiki kinaweza kikaanza kuonekana baada ya sehemu (mbele) ya retweet, like, na share.
Kingine cha kujua hapa ni kwamba bado haijwekwa wazi kabisa kwamba huduma hizi zitapatikana katika mtandao huo wa kijamii kwa watu wote au kwa Twitter Blue Pekee.
Ningependa Kusikia Kwako, Niandikie Hapo Chini Katika Eneo La Comment. Hii umeipokeaje?
Kumbuka Kutembelea Mtandao Wako Wa TeknoKona Kila Siku, Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.
Nifuate Kwenye Mitandao Yangu Ya Kijamii
Instagram | Facebook | Twitter | LinkedIn
No Comment! Be the first one.