Kwa mujibu wa taarifa za kuaminika imeelezwa kuwa Samsung wanataka kuleta simu janja mpya ikiwa ni muendelezo wa kutoa simu ambazo zinatoka kwenye familia...
Katika miaka kadhaa sasa makampuni mengi yamejaribu kutoka kompyuta mpakato ambazo zinaweza kutumika katika namna mbili tofauti; kutumia kama kompyuta au tabiti katika kifaa...
Simu rununu zipo na zinatoka kila leo na hii inadhihirika kwa kampuni mengi kama hawajatoa tayari simu mpya mwezi huu basi wapo njiani kutoa bidhaa kwa ajili...
Kampuni mbalimbali zinajitahidi kutoa kompyuta ambazo zinaleta ushindani na hasa wakiangazia zaidi uwezo, umbo na hata uzito wa kifaa husika, Honor ambao wamekuwa wakitoa...
Siyo mara ya kwanza kuzungumzia Dash Cam na umuhimu wake kwa waendesha magari hapa teknokona. Leo tunakuletea moja-kwa-moja uchambuzi wa Dash Cam na hasa...
Mwishoni mwa mwezi uliopita Google katika mkutano mkubwa MWC 2018 ilipozindua rasmi mfumo wa Android Go, simu janja ya kwanza kutumia mfumo huo imekuwa...