fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Teknolojia

AfrikaappsKompyutasimuTabletTanzaniaTeknolojiaVodacom

AppStar Kutoka Vodacom, Watengenezaji wa Apps Mpo?

Kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu, Vodacom, imeandaa shindano kwa ‘developers’ katika nchi za Africa na Uarabuni kuweza kutengeneza, kuuza na hatimaye kushinda zawadi mbalimbali kutokana na mawazo yao na app watakazotengeneza. Kupitia shindano hili, wataalamu wa teknolojia wanaoishi na kufanya kazi katika nchi za Tanzania, Afrika Kusini, Misri, Lesotho na Qatar watapata nafasi…

Teknolojia

Je Unaitaji Suruali Yenye AC?

Wajapani ni noma. Matumizi ya teknolojia yanaweza kweli kutumika kwa kitu chochote wakati wowote katika ulimwengu wa leo. Kama mtu anayeishi katika Jiji la Dar es Salaam au pande za visiwani, itabidi kukubali kuwa kupata vazi lenye uwezo wa kupunguza joto la msimu flani si kitu kibaya. Kwa hili wajapani waja na suruali hewa-baridi maarufu…

OralQuick: Upo Tayari Kujipima Ukimwi?
Teknolojia

OralQuick: Upo Tayari Kujipima Ukimwi?

Kampuni ya OraSure ya nchini Marekani imepewa ruhusu kuingiza bidhaa yake ya kwanza sokoni itakayowawezesha wateja wake kujipima Ukimwi mahali popote watakapo. Kupata ruhusu hiyo kutoka serikali ya Marekani kunaonekana ndio mwanzo mzuri wa bidhaa hiyo kupata ruhusu kwenye mataifa mengine duniani kote.

JIEPUSHE Na Ku’click ‘Link’ Zisizo Na Maana Kwenye Mitandao Ya Kijamii!!
FacebookTanzaniaTeknolojia

JIEPUSHE Na Ku’click ‘Link’ Zisizo Na Maana Kwenye Mitandao Ya Kijamii!!

Siku chache zilizopita nilishangaa kupata mfululizo wa updates Facebook nikiambiwa rafiki yangu mmoja ameni’tag’ kwenye video flani. Kuja kuangalia ukurasa wangu wa Profile Facebook ilibidi nianze kazi ya ziada ya kuzifuta video hizo, kwani ilikuwa inaonesha picha ya ngono huku ikisema nitamchukia Rihanna kama niki’click link hiyo kwenda kuangalia hiyo video.

FacebookTanzaniaTeknolojia

Unaonaje Hii?

Nimeiopata hii toka gazeti la ‘online’ la Mashable [www.mashable.com]. Najua kwa Tanzania wengi wetu huwezi tuambia chochote kuhusu huduma nyingine za kijamii kama Google Plus na Twitter, wengi hatupo tayari kujaribu kitu kingine zaidi ya Facebook, na pale tunapojaribu tunakata tamaa mapema kwa sababu tunataka tukielewe na kuweza kutumia haraka zaidi. Lakini si kwa wenzetu…

LinuxTeknolojiaUbuntu

Ubuntu 11.10 Imeiva!

Kwa sasa yamebakia kama masaa 48 hadi Ubuntu 11.10 ipate kuwa online kwa watu wote kudownload na kufanya upgrades kwa wale wanaotumia version zingine. Alhamisi ya tarehe 14 ndo siku ya kuzinduliwa kwake. Je unaifahamu Ubuntu? Ushawahi kutumia? Je unahamu ya kuijaribu bila kuaribu Windows XP,Vista or 7.? Basi katika siku mbili zijazo nitaifanyia review…

TeknoKona Teknolojia Tanzania