fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Teknolojia

7 za Kukufanya Mjanja zaidi Twitter
Teknolojia

7 za Kukufanya Mjanja zaidi Twitter

Tanzania ni moja ya mataifa ambayo twitter inakua kwa kasi kubwa sana duniani. Twitter ni mtandao wa jamii amabao unatumika kushirikisha watu hasa kwa habari za kushtua (‘breaking news’) na matukio ya laivu. Huu mtandao ulianzishwa mwaka 2006 na Jack Dorsey, Noah Glass, Evan Williams na Biz Ston na tangu kipindi hicho twitter imekuwa mtandao…

COSTECH Ndani ya NaneNane: Kilimo na teknolojia!
AfrikaTEHAMATeknolojia

COSTECH Ndani ya NaneNane: Kilimo na teknolojia!

Ushawahi kuisikia kuhusu COSTECH? Pengine hujawahi. Hii ni tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania ambayo uwepo wake hapa nchini ni kuiwezesha nchi katika  utafiti, ukuwaji na utumikaji wa sayansi na teknilojia na pia kuishauri serikali kuhusu mambo hayo. Hii inamaanisha kwamba, kama una jambo lolote la kibiashara au kisomi linalohusu sayansi na teknolojia na unataka…

Kifaa Kilichotumika Kuangusha Ndege ya Malaysia MH17
Teknolojia

Kifaa Kilichotumika Kuangusha Ndege ya Malaysia MH17

  Takribani siku tatu  zimepita tangu ndege ya Malaysia Airlines MH17  ikiwa na abiria 297 ikitokea Amsterdam kuelekea Kular Lumapr iangushwe.  Ndege hiyo iliripotiwa kuruka kilomita 10 juu ya ardi karibu na kijiji cha Grabovo. Japo haijulikani ni nani aliyeiangusha ndege hiyo lakini tayari imebainika kuwa ndege hiyo ilitunguliwa kutoka hewani na gobole. Mpaka sasa,…

Teknolojia

Teknolojia 7 Zilizotisha Kombe la Dunia 2014

Kombe la dunia la mwaka huu limekuwa la kuvutia kutokana na maoni ya watu wengi. Kombe hilo limepambwa na rekodi kadhaa za kufurahisha ikiwemo magoli mengi zaidi yaliyowahi kufungwa kwa michuano hiyo. Sifa nyingine kubwa ni kuwa michuano ya aina yake yaliyopambwa kwa matumizi makubwa na ya watu wengi kiteknloljia yaliyowahi kuonekana au kusikika. Hizi…

GoogleMagariTeknolojia

Google Yazidi Kushangaza Dunia!

Kampuni kubwa ya teknolojia duniani, Google Inc. imetangaza kufanikiwa kutengeneza gari linalojiendesha lisilohitaji dereva kabisa. Gari hili lenye umbo dogo na spidi isiyozidi kilomita 40 kwa saa, limeripotiwa kuwa bila usukani, breki wala pakukanyagia mafuta na badala yake hutegemea teknolojia ya ramani ndani yake na ile ya mtandao, hutegemea kamera na vifaa maalum ‘sensors’ za…

TeknoKona Teknolojia Tanzania