fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

simu

AfrikaappsKompyutasimuTabletTanzaniaTeknolojiaVodacom

AppStar Kutoka Vodacom, Watengenezaji wa Apps Mpo?

Kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu, Vodacom, imeandaa shindano kwa ‘developers’ katika nchi za Africa na Uarabuni kuweza kutengeneza, kuuza na hatimaye kushinda zawadi mbalimbali kutokana na mawazo yao na app watakazotengeneza. Kupitia shindano hili, wataalamu wa teknolojia wanaoishi na kufanya kazi katika nchi za Tanzania, Afrika Kusini, Misri, Lesotho na Qatar watapata nafasi…

IntanetisimuTanzaniaVodacom

Vodacom Waja na Ofa Kabambe!

Kampuni ya Vodacom masaa machache yaliyopita kupitia ukurasa wake wa Facebook wametangaza ofa kabambe kwa kipindi hichi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Kuanzia saa tano usiku hadi saa moja wateja wa Vodacom wataweza kupiga simu bure(Vodacom kwenda Vodacom) na kutuma ujumbe mfupi wa maneno(sms) bila kikomo baada ya kujiunga kwa gharama ndogo ya Tsh 250/=…

simuTanzaniaTigo

Timu ya Masoko ya Tigo Yataka Kupunguza Unene!

Linapokuja suala la mitandao gani ya simu imejiwekeza vizuri linapokuja katika suala la ‘Social Media management’ kwa lugha yetu uendeshaji na ushiriki katika mitandao ya kijamii naiweka Tigo namba moja.Kuendesha akaunti za mitandao ya kijamii inaitaji timu nzuri sana, kwani haitakiwi iendeshe kimalengo ya matangazo tuu kwani utawachosha wateja wako hivyo inahitaji ubunifu wa hali…

simuTablets

Android Na Shutuma ya ‘BOTNET’, Google Yaongea!

Kuna mtafiti mmoja kutoka kampuni ya Microsoft, Mr Zink, siku chache zilizopita alidai amegundua kwa mara ya kwanza kuwa kuna barua pepe za spam zinazotumwa kutoka simu za Android kwa mfumo wa BOTNET. Mfumo wa Botnet, Bot Herder ataweza Kuongoza kompyuta Nyingine bila Wamiliki Kugundua BOTNET ni programu zinazotengenezwa kuambukizwa kwenye kompyuta na vifaa vingine…

AirtelBlackberryMaujanjasimuTabletsTanzaniaTigoVodacom

Tatua Utumiaji Wa Intaneti Kwenye Blackberry Bila BIS

Vifurushi vya BIS ndiyo watu wangu huwa wanazungumzia kama BBM, lakini huwa wanakosea. Ulipii huduma ya BBM (Blackberry Messenger) bali unacholipia huwa ni huduma ya BIS (Blackberry Internet Service), ambayo ukishajiunga unapata mlolongo wa huduma nyingine nyingi za intaneti katika simu yako ya Blackberry kama kuweza kutumia huduma ya kuchati ya Blackberry (BBM), huduma za…

AndroidBlackberryIPhonesimuTabletsteknokona

RIM Yazidi Kuyumba. Simu za Blackberry 10 Hadi Mwakani!

Mwezi wa nne niliandika kuhusu hali ngumu kimauzo iliyokuwa inaikabili kampuni ya RIM (Research In Motion) watengenezaji wa simu maarufu za Blackberry, niliandika ‘RIM; Je Kifo Cha Kampuni ya BlackBerry Kinakaribia’. Hali mbaya bado inaendelea na sasa imefikia hatua wamesukuma mbele muda wa kuziingiza sokoni simu za kisasa zaidi za Blackberry 10 ambazo wengi wamekuwa…

AppleMicrosoftsimuTabletTabletsWindows 8

‘Surface’, Microsoft Waamua Kutengeneza ‘Tablet’!

Kabla ya kuwaelezea kuhusu hii tablet kutoka kampuni ya Microsoft, kwanza ningependa kuanza kwa kuelezea kitu gani kinaitwa ‘tablet’, naamini wengi watakuwa wanatambua ila nimeshauulizwa maswali mengi sana wakati watu wakiniona na tablet. Wengi wanaziita IPad hata kabla ya kujua inatengenezwa na kampuni gani. Tablet- ni jamii ya vifaa vya kompyuta vyenye muundo mdogo wa…

AfrikaAirtelsimu

Makampuni Ya Simu NIGERIA Yapigwa Faini Kutokana Na Kutoa Huduma Mbovu!

Makumpuni ya simu nchini Naijeria yaonjwa faini ya aina yake. Makampuni hayo yametozwa kiasi cha billioni 1.17 Naira ambazo ni takribani shillingi bilioni 11.6 za kitanzania, kutokana na kudaiwa kutoa huduma zilizochini ya viwango. Hivi serikali yetu ikifanya hivi makampuni gani unadhani yatawajibika katika hili? Makampuni yaliyokumbwa na panga hilo ni pamoja na mampuni maarufu…

Smartphones

Ifahamu WhatsApp Messenger

Kwa watumiaji wa simu za Blackberry waliojiunga na Blackberry services wanafurahia huduma ya kutuma ujumbe wa maneno, sauti, picha pamoja na video kwa kutumia application ijulikanayo kama Blackberry Messenger (BBM) huduma ambayo imejipatia umaarufu mkubwa hasa kwa vijana. Kama nilivyodokeza mwanzo huduma ya Blackberry Messenger ni kwa ajili ya watumiaji wa simu za Blackberry tu…

Smartphones

Nokia yatambulisha Familia mpya ya Nokia Lumia

Kampuni kongwe inayojihusisha na utengenezaji wa simu za mkoni ya Nokia imetambulisha simu mpya mbili ambazo tayari zimeanza kupokea tathmini chanya kutoka kwa wataalamu mbali mbali wa maswala ya teknologia, simu hizo ambazo ni Nokia Lumia 800 pamoja na Nokia Lumia 710 zote zikiwa zinatumia mfumo wa uendeshaji (Operating System) aina ya Windows Phone uliobuniwa…

TeknoKona Teknolojia Tanzania