iOS 6 Kutoka Apple Ipo Tayari kwa Ajili Yako!
Watumiaji wa bidhaa za kampuni ya Apple sasa wanaweza kufanya maboresho ya program za uendeshaji wa bidhaa kama iPhone, iPad na iPod Touch. Ina maboresho mbaimbai ingawa bado wadau wengine wanadai si mengi sana na Apple wangeweza fanya zaidi. iOS 6 imetoka kwa ajili ya simu za iPhone 3GS, iPhone 4, iPhone 4S pamoja na…