fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Samsung

App Bora Kwa Ajili Ya Kamera Za iOs Na Android!
AndroidAppleappsiOSOperating SystemSamsungsimuTeknolojia

App Bora Kwa Ajili Ya Kamera Za iOs Na Android!

Kamera za simu zinatumika sana kuliko kamera za kawaida. Simu-janja zingine ni kamera za kidigitali  kabisa kwa sababu zina MP (mega pixel) kubwa.  Hata hivyo kwa kutumia simu-janja yangu ni rahishi kupiga na  ku ‘share’ katika mitandao tofauti tofati ya kijamii ikiwepo ule maarufu kwa shughuli hizo yaani ‘Instagram’. Je wewe unapenda kupiga na ku…

Njia 3 Za Ku ‘Reset’ Simu Ya Android!
AndroidHTCHTC OneJinsiMaujanjaSamsungsimuSmartphonesTabletTabletsTeknolojia

Njia 3 Za Ku ‘Reset’ Simu Ya Android!

Inafahamika wazi kuwa simu za Android kama vile Samsung Galaxy ndio wapinzani wakubwa wa kampuni Ya Apple ambao wana iPhone zinazotumia iOs. Watu wengi wanasema simu za android ni rahisi kutumia kuliko zile za Apple, Mimi nasema inategemea na mtu na chaguo lake (ha!).  Watumiaji wa Android wanafurahia maelfu kwa maelfu ya aplikesheni (Application) zinazopatikana…

Simu 20 Zilizouzika Zaidi Duniani Hadi Sasa-Namba 10 hadi 1
IPhoneNokiaSamsungsimuTanzaniaTeknolojia

Simu 20 Zilizouzika Zaidi Duniani Hadi Sasa-Namba 10 hadi 1

Wiki iliyopita tuliangalia namba 20 hadi 11 katika simu zinazoshikilia chati kimauzo duniani na leo tunaangalia namba kumi hadi moja, kwa kujikumbusha zilizoshika namba 20 hadi 11 unaweza BOFYA HAPA! Nokia iliingiza simu nne katika chati hiyo wakati Apple waliingiza iPhone tatu huku Motorola iliingiza simu mbili na Samsung iliingiza simu moja, je mambo yatabadilika katika…

Tableti Tano Bomba Mwaka Huu
IPadSamsungSonyTabletTablets

Tableti Tano Bomba Mwaka Huu

Umuhimu wa Tableti unazidi kuonekana duniani. Kila kukicha, mauzo ya gajeti hizi yanaongezeka. Ni dhahiri waatu wanahitaji kufanya kazi au kuburudika wakiwa njiani na vitumi vya mkononi. Kwa kuona umuhimu huo, hii makala inakupa tableti tano bomba zinazopendwa na watu wengi na wachambuzi tofauti duniani mpaka sasa kwa mwaka huu. 5. Google Nexus 7 Tableti…

Samsung Wazidi Kujitofautisha na Wengine, Galaxy App Store
AndroidappsGoogleSamsungsimu

Samsung Wazidi Kujitofautisha na Wengine, Galaxy App Store

Ushindani katika makampuni ya simu yanayotumia Android ni mkali sana kwa sababu kuu moja: Kwa kiasi kikubwa wote wanatumia programu ya uendeshaji moja, ANDROID! Hivyo kujitofautisha kuonesha unatoa kilichobora zaidi inakuwa ngumu sana. Tunaona ukichukua baadhi ya aina za LG, Samsung Galaxy, Tecno..unaweza kukuta ukiwekewa kiundani unapata shida kidogo kujua tofauti kuu. Na hichi si…

LG Yatoa Kitu Kipya: LG-G3
AndroidHTC OneSamsungsimu

LG Yatoa Kitu Kipya: LG-G3

Kampuni ya LG mapema wiki hii imetoa simu mpya ya ubora wa juu kabisa ya LG-G3. Simu hiyo ambayo imeingia sokoni inashindani na simu nyingine za aina yake kama Samsung S5, HTC-One na I-phone 5. Kwa wapenzi wa simu wanaotamaani kujua ubora wa simu hii ni kwamba kwanza ina muonekano wa kuvutia na wa kisasa…

TeknoKona Teknolojia Tanzania