fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Firefox

Kuhusu kivinjari cha Firefox kutoka kampuni ya Mozilla

Chrome, Firefox Zapata Maboresho
ChromeFirefoxTeknolojia

Chrome, Firefox Zapata Maboresho

Google Chrome inaweza kukupa taarifa kutoka mitandao uipendayo, kwa mfano, umepata rafiki mpya wa Facebook. Firefox iko mbioni kukuwezesha kutumia ‘extensions’ za Chrome na Opera. Katika kipindi ambacho, njia kuu ya watu kuingia mtandaoni ni vivinjari, ni jambo la muhimu kukuletea maboresho ya programu hizo ili kukuwezesha kufaidi zaidi teknolojia. ‘Chrome Notifications’ na ‘Chrome Custom…

Google Chrome vs Mozilla Firefox
ChromeFirefoxTeknolojia

Google Chrome vs Mozilla Firefox

Chrome na Firefox ni vivinjari wavuti vilivyokamata dunia linapoongelewa suala la kuperuzi wavuti katika miaka ya karibuni. Yapo mengi ya kutofautisha kati ya vivnjari hivi ila cha kukubaliana ni kwamba vyote viwili vinatengenezwa na maprograma wenye ujuzi wa hali ya juu kuizifanya kuwa na teknolojia ya kisasa zaidi. Dhamira Tofauti Jambo la kwanza kabisa katika…

Njia Mbalimbali za Kushusha Video kutoka YouTube!
AndroidFirefoxIntanetiiOSJinsiKompyutaMtandaosimuVideoYouTube

Njia Mbalimbali za Kushusha Video kutoka YouTube!

Iwe kupitia simu yako au kwenye kompyuta wengi tunapenda kuwa na baadhi ya video tunazozipenda ili tuweze kuzitazama tena na tena. Zifuatazo ni njia mbalimbali za kukuwezesha kushusha ( kimombo-Download) video mbalimbali kutoka Youtube na ata mitandao mingine. Usisahu kusambaza makala kwa wengine pia. Kwenye MTANDAO.   ClipConverter (Mtandao) ClipCoverter ni mtandao unaopatikana kwa anuani…

TeknoKona Teknolojia Tanzania